ARGENTINA NA URENO WAMETUPWA NJE KOMBE LA DUNIA....MESSI,RONALDO KWISHAAA
Mbappe akimpa pole Messi
Mbappe akimpa pole Messi
Jumamosi ya June 30 2018 hatua ya 16 bora ya michuano ya World Cup 2018 ilianza rasmi ikiwa ni siku moja imepita toka hatua y…
Chama cha Wakunga Tanzania (Tanzania Midwives Association-TAMA) kimeendesha semina kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyan…
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. Unaweza kusema taarifa za kutoweka kwa mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM wilay…
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 19 amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kumbaka msichana wa miaka nane.
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewataka Wauguzi wanaojijua kuwa wanatumia vyeti feki popote walipo nchini k…
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bamtukuza anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Karibu Ibadani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa hali ya usalama kwa mkoa huo kwa sasa imezidi kuimarika kutoka…
Magazetini leo Jumamosi June 30 2018,magazeti ya michezo,udaku na hard news
Baada ya Cristiano Ronaldo kubandikwa picha yake kubwa katika moja ya Hoteli karibu na Hoteli ambayo Lionel Messi na Argent…
Mchezaji Shabani Ada (kushoto) akiwa na moja ya viongozi wa kamati ya usajili ya Lipuli FC baada ya kusaini mkataba.
Polisi nchini Kenya wanamsaka Morris Kirema kwa kosa la kumuua mtoto wake mwenye miaka 12 na kumjeruhi mtoto wake mwingin…
Nakualika kutazama Video ya wimbo wa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha (Tanzania police) unaitwa ‘Kazi yao’ wameimba m…
Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano (TCRA) imevitoza faini ya Sh6 milioni vituo vya redio vya Magic Fm na Rasi Fm k…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amekiri kuwa wabunge wake wamechoka kweli kweli kuendelea kuw…
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Amri Athuman a.k.a Mzee Majuto amesema kuwa nyonga ndio tatizo kubwa linalomsumbua kwa…
Mkojo ukiwa maabara Mkufunzi mmoja kutoka chuo kikuu cha Afrika Kusini, anayejulikana kama Dkt.Dyllon Randall amevumbua…
Mmoja kati ya washitakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Mchungaji Nixon Isangya (71), amezua kioja mahakamani …
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wamewatambulisha wachezaji wake watatu wapya ambao watawatumia katika michuano i…
Magazetini leo Ijumaa June 29 2018, Magazeti ya Michezo,Magazeti ya udaku na hard news
Alhamis ya Juni 28,2018 tumeshuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2018 hatua ya makundi ikimalizika kwa Afrika kupoteza timu …
Kadi ya kliniki Na Annastazia Paul - Shinyanga Imeelezwa kuwa ipo haja ya akina mama kuanza kliniki mapema mara…
Hatimaye timu zilizokuwa zikiliwakilisha Bara la Afrika, katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi zimeondolewa katika…
Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali akitii amri ya Spika wa Bunge, Job Ndugai baada ya kumtaka kutoka kwenye ukumbi wa bunge l…
Balozi wa Denmark Einarl Jrnseni amewasili mkoani Kigoma akiwa ameambatana na mabalozi wenzake 10 kutoka Umoja wa Ulaya kwa …
Nafasi nyingine kwa Afrika kujaribu bahati ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe la dunia Urusi ambapo Senega…
Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa amewasili leo Alhamisi Juni 28, 2018 saa 5:30 asubuhi katika uwanja Uwanja wa Ndege wa …
Abdel Rahim Mohamed aliwahi kuifundisha Zamalek Fc ya mjini Cairo
Kikosi cha Azam FC kilichokuwa kinacheza katika msimu ulioisha wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwaka 2017/18
Mfano wa picha za tukio la soko likiwa limeungua moto **** Watu 15 wamekufa nchini Kenya kufuatia kuungua moto kwa soko…
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Happiness Segesa (30-35) amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari lenye…
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) imepanga kuondoa daladala zote zinazosafirisha abiria katika &…
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia, amesema endapo serikali haitatoa fedha za mauzo ya korosho, Umoja huo wa Katiba ya …
Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson, Joe Jackson enzi za uhai wake. Baba mzazi wa aliyekuw…
Yaliyojiri Magazetini leo Alhamis June 28 2018.Magazeti ya Tanzania, Magazeti ya Michezo,Magazeti ya Udaku, Hard News
Wakufunzi wa Ujerumani wakishangaa uwanjani
TIMU ya Azam FC ya Dar es Salaam imetangaza kufunga hesabu za usajili kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2018/19.
Mlinda Mlango mkongwe nchini aliyesajiliwa na klabu ya KMC ya Dar Es Salaam, Juma Kaseja amefunguka kuwa kwa sasa hajaamua …
Watu 15 wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kutuma ujumbe kwa watumiaji wa simu kwa lengo la kutapeli fedha watu.
Rais wa awamu ya tatu wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa anatarajia kuwasili nchini Tanzania kesho kwa ziara ya siku mbili kuanz…
Croatia na Argentina zimefuzu kucheza hatua ya mtoano katika 16 za michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi.
Wachezaji wa Simba wakijadili jambo na kocha wao Masoud Djuma wakati wa mazoezi. Klabu ya Simba kupitia kwa kocha wake…
Mwenyekiti wa kamati ya kuisaidia klabu ya Yanga Tarimba Abbas *** Mwenyekiti wa kamati ya kuisaidia klabu ya Yanga kuv…
Kutokana na kusuasua na kutokamilika kwa wakati katika miradi ya maji wilayani Kakonko mkoani Kigoma mkuu wa wilaya ya Kakon…
Watu watatu wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti wakiwamo mume na mkewe kuteketea ndani ya nyumba eneo la Mailimo…
Bajaji iliyopambwa na rangi ya jezi ya Nigeria iliyotumiwa katika michuano ya kombe la Dunia ****
Magazetini leo Jumatano June 27 2018 yapo magazeti ya Michezo,Magazeti ya Udaku,Hardnews
Mfungaji wa bao la pili la Peru Paolo Guerrero Timu ya taifa ya Peru imemaliza mechi zake za makundi kwa ushindi wa mab…
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2018/19 ya Sh32.45 trilioni kwa kura 26…
Mwanadada Bahati Shabani akiwa amembeba mumewe Jivuneni Mbunda wakiwa ndani ya Bunge leo.