
Sunday, February 17, 2019
MWANAMKE AMUUA KWA PANGA MTOTO WA MAMA ALIYEDAI KAZAA NA MMEWE
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Paskazia Andrew Sindano (17) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kumuua kw...
PAPA AMVUA MADARAKA KARDINALI KWA KUBAKA MTOTO
Papa Francis amemvua madaraka kardinali wa zamani, ikiwa ni tukio la kwanza kwa Kanisa Katoliki kuchukua hatua baada ya Mmarekani huyo, T...BASI LA GREEN LINE LAUA WATU 10 BAADA YA KUGONGANA NA LORI
Watu 10 wamepoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea katika barabara ya Nakuru- Eldoret kati ya basi la abiria la Green Line na lor...
Tanzia : MHASIBU MKUU MWANZILISHI WA STAND UNITED EMMANUEL 'LONDON SHOP' AFARIKI DUNIA
Mhasibu Mkuu Mwanzilishi wa Timu ya Stand United 'Chama la Wana" Emmanuel Mlimandago Dominic maarufu "London Shop" a...MBUNGE AZZA ACHEKELEA SHULE YA MASUNULA KULAMBA MIL 146.6...DC MBONEKO ASEMA ATAKAYEDOKOA ATAZITAPIKA
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko (pichani) amewataka watendaji wa serikali kutumia fedha zinazotolewa na serikali kwa malengo...Picha : MBUNGE AZZA HILAL ATEKELEZA AHADI YA MCHANGO WA MABATI UJENZI WA VYOO SHULE ZA MASUNULA NA USULE
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mheshimiwa Azza Hilal Hamad ametekeleza ahadi ya kuchangia ma...
Picha : SBL YAWAKUTANISHA WANAWAKE KUADHIMISHA SIKU YA WAPENDANAO 'VALENTINE'S DAY'
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha siku ya wapendano duniani maarufu kama ‘Valentine’s Day’ Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd (S...Picha : AGAPE YATOA ELIMU YA MAJUKUMU YA WAJUMBE WA KAMATI ZA MTAKUWWA KATA YA DIDIA
Shirika lisilo la kiserikali la Agape AIDS Control Programme (AACP) limekutana na kamati za Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ...
TRENI YA KWANZA YA MWENDO KASI YAGONGA NG'OMBE NA KUPINDUKA
Treni ya kwanza ya mwendokasi nchini India imeanguka jana Jumamosi baada ya kugonga ng'ombe aliyekuwa kwenye reli, ikiwa ni siku mo...MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI ATEMBELEA MRADI WA VISIMA, AITAKA DAWASA KUVIKAMILISHA KWA WAKATI
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (wa sita toka kushoto) na viongozi wengine alioambatana nao akimsikiliza Kaimu meneja miradi...Saturday, February 16, 2019

SIMBA YAIADHIBU YANGA
Meddie Kagere akijaribu kumiliki mpira mbele ya Vicent Andrew Mabingwa watetezi wa Ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya soka ya Sim...WAZIRI MKUU: VIONGOZI WA CCM KAGUENI MIRADI
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Mkoa na Wilaya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wahakikishe wanakagua m...
MAKAMU WA RAIS AWASILI SINGIDA KWA ZIARA YA KIKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Sin...
MAKONDA ATOA MILIONI 5 KUMSAIDIA KIUCHUMI MAMA YAKE GODZILLA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa Tsh. Milioni 5 kwa Mama mzazi wa Godzilla kama sehemu ya kutimiza malengo ya marehem...