MALUNDE 1 BLOG - vituko MALUNDE 1 BLOG: vituko - All Post
Showing posts with label vituko. Show all posts
Showing posts with label vituko. Show all posts

Wednesday, July 10, 2019

SANAMU YA MWALIMU NYERERE BURIGI- CHATO YAZUA GUMZO MTANDAONI

SANAMU YA MWALIMU NYERERE BURIGI- CHATO YAZUA GUMZO MTANDAONI

Jana Julai 9, 2019 kulikuwa na hafla ya uzinduzi wa Hifadhi mpya ya wanyamapori ya Burigi-Chato, Hafla ambayo ilihudhuriwa na Rais wa Jam...

Friday, July 5, 2019

JOGOO AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSUMBUA MAJIRANI ...'ANAWIKA SANA'

JOGOO AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSUMBUA MAJIRANI ...'ANAWIKA SANA'

Jogoo huyu ambaye mmiliki wake amempatia jina la Maurice, amekuwa kero kwa majirani kwa kuwika kila alfajiri na malumbano kumhusu sasa y...

Wednesday, June 26, 2019

JAMAA AKAMATWA KWA KUJIFANYA MWANAMKE AKIHUDUMU BAA

JAMAA AKAMATWA KWA KUJIFANYA MWANAMKE AKIHUDUMU BAA

Maafisa wa polisi nchini Uganda wamemkamata jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 22 ambaye amekuwa akijifanya kuwa mwanamke kwa kipindi cha...

Saturday, June 22, 2019

AFCON 2019 : HAWA NDIYO ''WANYAMA'' WANAOSHINDANIA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA

AFCON 2019 : HAWA NDIYO ''WANYAMA'' WANAOSHINDANIA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA

Timu za soka barani Afrika na uhusiano wake na wanyama Mashindano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika yanaendelea nchini Misri, huku...

Friday, May 31, 2019

VAZI LA WAZIRI MKUU LAZUA GUMZO...ATINGA NA SUTI YA SKETI NA SANDOZI IKULU

VAZI LA WAZIRI MKUU LAZUA GUMZO...ATINGA NA SUTI YA SKETI NA SANDOZI IKULU

Mkuu wa Fiji Frank Bainimarama wakati alipohudhuria Mkutano wa Shirika la Umoja wa mataifa la makazi mjini Nairobi amepata fursa ya kumtemb...

Tuesday, May 28, 2019

KUTANA NA CHURA ANAYETAMBUA KAMA UNA UJAUZITO AU LA!

KUTANA NA CHURA ANAYETAMBUA KAMA UNA UJAUZITO AU LA!

Chura huyo huyu wa Kiafrika aliishi kwa maisha ya amani katika maji tulivu ya kusini mwa jangwa la sahara kwa miaka mamilioni . Hadi kati...

Thursday, May 9, 2019

MUME NA MKE WANUSURIKA KICHAPO KWA KUZIKA MAITI BANDIA

MUME NA MKE WANUSURIKA KICHAPO KWA KUZIKA MAITI BANDIA

Mtu na mke wake huko Homa Bay nchini Kenya wamenusurika kipigo  baada ya jamaa zao kugundua walikuwa wakitaka kuzika watoto bandia.

Wednesday, May 8, 2019

KONDOO WAANDIKISHWA SHULE ILI KUJAZA NAFASI YA WANAFUNZI DARASANI

KONDOO WAANDIKISHWA SHULE ILI KUJAZA NAFASI YA WANAFUNZI DARASANI

Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewaandikisha shule kondoo wake 15 ili kuongeza namba ya wanafunzi baada ya mamlaka za kijiji kimoja kutan...

Saturday, May 4, 2019

Makubwa Haya : MWANAMKE AJIFUNGUA SAMAKI

Makubwa Haya : MWANAMKE AJIFUNGUA SAMAKI

Wakazi wa eneo la Shariani jimbo la Kilifi wameachwa vinywa wazi  na kudai huenda ni ushirikina baada ya mmoja wao kudaiwa kujifungua ...
KUTANA NA NYOKA WA AJABU...ANA MACHO MATATU

KUTANA NA NYOKA WA AJABU...ANA MACHO MATATU

Maafisa wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara kaskazini mwa Australia.

Friday, May 3, 2019

Angalia Picha : TAMASHA LA KUABUDU NYOKA

Angalia Picha : TAMASHA LA KUABUDU NYOKA

Kila mwaka katika kijiji cha Cocullo huko Italia, sanamu ya mtakatifu inayozungukwa na nyoka walio hai huzungushwa mitaani.

Thursday, May 2, 2019

KIJIJI CHAPIGA MARUFUKU UMBEA ....UKIKAMATWA UNAPIGWA  FAINI

KIJIJI CHAPIGA MARUFUKU UMBEA ....UKIKAMATWA UNAPIGWA FAINI

Binolonan ambacho ni  Kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea.

Sunday, April 21, 2019

SOKWE WAACHILIA POZI MATATA AFISA AKIPIGA SELFIE

SOKWE WAACHILIA POZI MATATA AFISA AKIPIGA SELFIE

Sokwe wawili hawakutaka kupitwa na msisimuko wa picha baada ya afisa wa kupambana na biashara haramu dhidi ya wanyama pori kuchukua simu ...

Saturday, April 6, 2019

MWANAMKE AZUA GUMZO BAADA YA KUFUNUA GAUNI NA KUJISAIDIA NDANI YA BENKI

MWANAMKE AZUA GUMZO BAADA YA KUFUNUA GAUNI NA KUJISAIDIA NDANI YA BENKI

Wateja katika benki moja nchini Afrika Kusini wamepigwa na bumbuazi baada ya kushuhudia maajabu wasiyokuwa wanatarajia.  Mteja mmoja...

Friday, March 29, 2019

HIKI NDIYO KIJIJI CHA AJABU ZAIDI DUNIANI...HAKINA KABURI HATA MOJA,KUZAA MARUFUKU!!

HIKI NDIYO KIJIJI CHA AJABU ZAIDI DUNIANI...HAKINA KABURI HATA MOJA,KUZAA MARUFUKU!!

Kijiji cha Mafi Dove kilichopo kusini mwa nchi ya Ghana, chenye wakazi takribani 5000, lakini hakuna kati yao aliyezaliwa kijijini hapo...

Thursday, February 7, 2019

Friday, February 1, 2019

NANI HUDANGANYA ZAIDI KATI YA WANAUME NA WANAWAKE?

NANI HUDANGANYA ZAIDI KATI YA WANAUME NA WANAWAKE?

Ndiyo, wanaume huongopa zaidi ya wanawake, hayo ni matokeo ya utafiti mkubwa uliofanyika kuhusu udanganyifu.

Saturday, January 19, 2019

CHURA MPWEKE DUNIANI APATA MCHUMBA

CHURA MPWEKE DUNIANI APATA MCHUMBA

Chura anayeaminika kuwa wa mwisho wa aina yake katika ulimwengu ameondolewa upweke.

Wednesday, January 16, 2019

SANAMU LA SHETANI LASHUTUMIWA KUFURAHI SANA

SANAMU LA SHETANI LASHUTUMIWA KUFURAHI SANA

Sanamu la shetani linalopangwa kuwekwa katika mji wa Uhispania Segovia limeshutumiwa kwa kufurahi sana.