MALUNDE 1 BLOG - shinyanga MALUNDE 1 BLOG: shinyanga - All Post
Showing posts with label shinyanga. Show all posts
Showing posts with label shinyanga. Show all posts

Thursday, January 23, 2020

HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU YAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 30.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21

HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU YAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 30.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21

NA SALVATORY NTANDU Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga imepitisha Makadirio ya bajeti ya shilin...

Tuesday, January 21, 2020

Picha : AJALI YA BASI NA HIACE KUGONGANA USO KWA USO YAUA NA KUJERUHI KAHAMA

Picha : AJALI YA BASI NA HIACE KUGONGANA USO KWA USO YAUA NA KUJERUHI KAHAMA

Na Adela Madyane - Malunde 1 blog Kahama Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali  iliyohusish...
CHADEMA WAVURUGANA SHINYANGA ...KATIBU MWENEZI CHADEMA ATUMBULIWA KUZUIA MKUTANO WA CHADEMA POLISI..MWENYEWE AKAZA

CHADEMA WAVURUGANA SHINYANGA ...KATIBU MWENEZI CHADEMA ATUMBULIWA KUZUIA MKUTANO WA CHADEMA POLISI..MWENYEWE AKAZA

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi akiwataarifu wanachama wa Chadema juu ya mkutano wao kuzuiwa kuf...

Monday, January 20, 2020

OFISA NIDA NA WAKALA USAJILI LAINI ZA SIMU MATATANI KWA KUOMBA FEDHA WANANCHI WAWAPE NAMBA ZA NIDA

OFISA NIDA NA WAKALA USAJILI LAINI ZA SIMU MATATANI KWA KUOMBA FEDHA WANANCHI WAWAPE NAMBA ZA NIDA

Ofisa msajili msaidizi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa Nida Mkoani Shinyanga Haruna Mushi, pamoja na wakala wa usajili laini za sim...

Sunday, January 19, 2020

Picha : UNDER THE SAME SUN YAZINDUA MRADI WA 'HAKI YETU' KULINDA WATU WENYE UALBINO

Picha : UNDER THE SAME SUN YAZINDUA MRADI WA 'HAKI YETU' KULINDA WATU WENYE UALBINO

Shirika la Under The Same Sun kwa kushirikiana na mashirika wenza GNRC NA CEFA wamezindua mradi wa “HAKI YETU” awamu ya pili, ambao ume...

Saturday, January 18, 2020

Picha: NEW DOWN TOWN PUB YAZINDULIWA KWA KISHINDO TOFFEE UPTOWN AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SHINYANGA MJINI

Picha: NEW DOWN TOWN PUB YAZINDULIWA KWA KISHINDO TOFFEE UPTOWN AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SHINYANGA MJINI

Baa maarufu kwa jina la ‘New Down Town Pub’ iliyopo katika eneo la Maduka Mengi karibu na La Prince Pub Mjini Shinyanga imezinduli...