Post Top Ad
Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts
Monday, May 23, 2022
*************** NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Yanga imelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya timu ya Biashara United ya Mkoani Mara kwenye mchezo w...
Sunday, May 22, 2022
SIMBA SC YASHIKWA PABAYA NA GEITA GOLD, YATOKA SARE 1-1
*************** NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Simba imeshindwa kufurukuta mbele ya Geita Gold Fc mara baada ya kulazimisha sare ya 1-1 kwenye...
Friday, May 20, 2022
WAFANYA MAZOEZI SHINYANGA 'PJFCS' WATEMBELEA KIWANDA CHA JAMBO
Wanachama wa klabu ya mazoezi Polisi Jamii Fitness Center (PJFCS) akipiga picha ya pamoja ndani ya kiwanda cha Jambo mara baada ya kumaliza ...
YANGA SC YAINYUKA MBEYA KWANZA 4-0, YAHITAJI POINTI SITA WATANGAZWE MABINGWA
************ NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga imeondoka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Mbeya Kwanza, gimu a...
Wednesday, May 18, 2022
AZAM FC VS SIMBA SC NGOMA NGUMU, ZATOKA SARE 1-1 CHAMAZI
Na Alex Sonna MABINGWA Watetezi Simba wameshindwa kutamba ugenini dhidi ya Azam FC baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi...
MILIONI 10 ZA BIKO ZATUA KIMARA KWA FUNDI MAJI
Balozi wa Biko, Kajala Masanja kushoto, akimkabishi fedha zake mshindi wao wa sh Milioni 10, Ally Kayuni mwenye makazi yake Kimara, jijini D...
Monday, May 16, 2022
SIMBA SC YAKUTANA NA RUNGU KUTOKA CAF KWA KOSA LA KUWASHA MOTO UWANJANI
************************ SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya dola za Kimarekani 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 22.8...
Sunday, May 15, 2022
YANGA SC YAENDELEA KUSONGA MBELE, YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0
*********************** Na Alex Sonna-DODOMA BAADA ya kucheza mechi tatu bila kupata ushindi hatimaye vinara Yanga wameng’ara ugenini kwa ku...
Saturday, May 14, 2022
LIVERPOOL YATWAA KOMBE LA FA ENGLAND
TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya miaka 16 kufuatia ushindi wa penalti 6-5 timu hizo zikitoka kumaliza daki...
SIMBA YATINGA NUSU FAINALI YA ASFC...YAIFUATA KIBABE YANGA
Na Alex Sonna SIMBA w wametinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Azam Sport Federation (ASFC) na kuifuata Yanga kibabe baada ya kuichap...
Friday, May 13, 2022
SIMBA SC YAMPIGA CHINI MORRISON
KLABU ya soka ya Simba imeuarifu Umma hasa mashabiki wake na wapenzi wa soka nchini kuhusu hatima ya mchezaji wao Bernard Morrison Klabu ya ...
Wednesday, May 11, 2022
SIMBA SC WAZIDI KUIPA PRESHA YANGA...WALIPA KISASI KWA KUITWANGA KAGERA SUGAR
Na Alex Sonna MABINGWA Watetezi Simba wamezidi kuendelea kuipa presha Yanga kwenye mbio za Ubingwa baada ya kulipa kisasi cha mabao 2-0 dhid...
Monday, May 9, 2022
YANGA SC YAPUNGUZWA KASI YA UBINGWA ..YABANWA MBAVU NA TANZANIA PRISONS MAYELE AKIKOSA PENALTI
*********************** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga imeendelea kutoa sare ambapo leo imelazimishwa sare na timu ya Tan...
Sunday, May 8, 2022
SIMBA SC YAIFUNZA ADABU RUVU SHOOTING, YAICHAPA MABAO 4-1
********************** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba imeinyuka Ruvu Shooting mabao 4-1 kwenye mchezo wa ligi ya NBC, mch...
AVUNJA REKODI KWA KUKIMBIA KILOMITA 4399 KWA MGUU MOJA
Jacky alikuwa na ndoto ya kuvunja rekodi ya Guinness. Jacky Hunt-Broersma kutokea Arizona, Marekani ambaye mwaka 2002 alikatwa mguu mmoja kw...
Wednesday, May 4, 2022
YANGA SC YASHIKWA SHATI NA RUVU SHOOTING MJINI KIGOMA
********************** NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya yanga leo imelazimishwa sare ya bila kufungana na timu ya Ruvu Shooting mchezo uliopigwa...
Tuesday, May 3, 2022
JINAMIZI LA SARE LAENDELEA KUITESA SIMBA SC
************************** NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Simba Sc imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya timu ya Namungo Fc mchezo wa ligi ambao u...
Saturday, April 30, 2022
YANGA VS SIMBA HAKUNA MBABE
******** Na Alex Sonna VINARA wa Ligi Kuu ya NBC na Mabingwa wa Kihistoria Tanzania bara Timu ya Yanga imeshindwa kutamba mbele ya watani ...
Monday, April 25, 2022
YANGA SC YAANDAA PUNGUZO LA JEZI KUELEKEA KARIAKOO DERBY
********** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KLABU imewataka mashabiki wa Yanga kuhakikisha wanaingia uwanjani kwa wingi hasa ukizingatia w...
Sunday, April 24, 2022
SIMBA YATOLEWA KWA TABU SANA KWA MATUTA NA ORLANDO PIRATES
KWA mara nyingine Simba wameshindwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kuondoshwa na Orlando Pirates kwa mabao 4-...
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.