Post Top Ad
Showing posts with label afya. Show all posts
Showing posts with label afya. Show all posts
Friday, May 13, 2022
Baadhi ya wauguzi wa kituo cha Afya Zamzam wakiapa
Wednesday, April 27, 2022
WATOTO 349,007 KUPATIWA CHANJO YA POLIO SHINYANGA...RC MJEMA ATAKA WAPOTOSHAJI WAPUUZWE
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Aprili 27,2022 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjem...
MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI YAFANYIKA TARIME, SERIKALI IKISISITIZA WANANCHI KUTOTUMIA DAWA BILA KUPIMWA
Madaktari kutoka hospitali ya wilaya ya Tarime wakihudumia watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Malaria yaliyofanyika katika viwanja vya ...
Friday, April 22, 2022
WAFAMASIA WATOA TAMKO ZITO WATOA HUDUMA WASIO NA TAALUMA YA DAWA KUHUDUMIA KWENYE MADUKA YA DAWA
Mfamasia na Katibu Mkuu wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Benson Katundu katika mkutano wake na waandishi wa habari Mjini Shinyanga leo Ijuma...
Monday, April 11, 2022
WANANCHI KARAGWE WAISHUKURU TAASISI YA MANAGEMENT AND DEVELOPMENT FOR HEALTH (MDH) KUFANYA KLINIKI TEMBEZI YA KIFUA KIKUU
Gari la Kliniki tembezi pamoja na baadhi ya madaktari na wakwanza kulia ni Mratibu wa Kifua kikuu na Ukoma Wilaya ya Karagwe Dkt. Misango Ma...
Friday, April 8, 2022
DAWA HIZI UNAPENDA KUZITUMIA LAKINI ZINAWEZA KUWA HATARI KWA AFYA YAKO
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, dawa hizo zinapoteza ufanisi wake kwa kasi ya kushangaza Kula vyakula vya kukaanga ama vilivyo na maf...
Wednesday, April 6, 2022
RAIS SAMIA AZINDUA MFUMO WA KITAIFA WA USAFIRISHAJI WA DHARURA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA M-MAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongea na wadau wa Afya ya mama na mtoto leo Dodoma kwenye uzinduzi wa Mfumo w...
Monday, March 28, 2022
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII YAANDAA MWAROBAINI KWA WANAOHARIBU MIMBA
Waziri wa Maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu Dkt.Dorothy Gwajima akiongea na Waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya M...
Sunday, March 6, 2022
MGODI WA NORTH MARA WACHANGIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50
Daktari Mkuu wa Barrick North Mara, Dkt. Nicholaus Mboya akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI
Friday, February 25, 2022
SERIKALI YATAKA MEWATA KUHAMASISHA JAMII KUKABILIANA NA MABADILIKO YA MAGONJWA
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na chama cha madaktari wanawake Tanzania(MEWATA) katika Mkutano wa 19 wa Chama hicho uliofanyika Jijini...
Friday, February 11, 2022
SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU YA PROFESSOR JAY
Aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Bw. Joseph Haule (Prof. Jay) Sophia Mtakasimba (MNH) Rais wa Jamhuri ya Muun...
Thursday, February 10, 2022
Tanzia : Dkt. MWELE NTULI MALECELA AFARIKI DUNIA.. VIONGOZI MBALIMBALI WAMLILIA
Taarifa za kusikitisha zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022,...
WAZIRI GWAJIMA AZINDUA KITUO CHA WATOTO KATIKA SOKO LA MIRONGO MWANZA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima (wa tano kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi ra...
Tuesday, February 8, 2022
Friday, February 4, 2022
TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA SARATANI...IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA
Na Dotto Kwilasa Malunde 1 Blog, DODOMA. IKIWA ni siku ya Saratani Duniani,Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 42,060 k...
Friday, January 21, 2022
SERIKALI KUWABAINI WATU 200,000 WANAOISHI NA VVU BILA KUJUA
MCHAKATO wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya Ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema itaitumia ili kup...
Sunday, January 9, 2022
BABU WA MIAKA 84 ADUNGWA CHANJO 11 ZA CORONA
Babu mmoja kutoka nchini India mwenye umri wa miaka 84, amekamatwa baada ya kudai kuwa amedungwa chanjo 11 ya virusi vya Corona.
Monday, December 13, 2021
RAIS WA AFRIKA KUSINI AKUTWA NA COVID 19
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali.
Saturday, December 11, 2021
WAZIRI MKUU : HATUNA MGONJWA WA OMICRON
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameitaka sekta binafsi kuitetea nchi kwa kuwa vita ya kibishara ni kubwa ikiwemo ...
Friday, December 3, 2021
NSSF YATUNUKIWA TUZO KUTHAMINI MCHANGO WAKE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ekwabi Mujungu (kushoto), ambaye alimwakilisha ...
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.