Post Top Ad
Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Sunday, May 22, 2022
Msanii Baby Nai anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Nimeolewa' Septemba 2022 Mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke al...
MKIMBIZI AVUNJA NDOA YA MTU YENYE MIAKA 10
Mrembo Sofiia kutoka Ukraine Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe aliyedumu naye kwa mi...
Thursday, May 19, 2022
MLINZI ADAIWA KUUA MCHIMBAJI MADINI MWAKITOLYO AKIGOMBANA NA MKEWE…WANANCHI WAVUNJA VUNJA OFISI, NYUMBA YA KAMANDA WA SUNGUSUNGU
Muonekano wa ofisi ya Mwenyekiti wa Kitongoji Namba 2 kijiji cha Nyaligongo kata ya Mwakitolyo wilaya ya Shinyanga na vitu mbalimbali baada ...
Wednesday, May 18, 2022
MREMBO AMFIKISHA MAHAKAMANI BABA MKWE KISA AMEKATAA AOLEWE NA KIJANA WAKE
Mwanamke mmoja nchini Nigeria amefikisha baba mkwe wake kortini kwa madai ya kukataa aolewe na mwanawe.
Tuesday, May 17, 2022
MWANAMKE MBARONI TUHUMA YA KULAZIMISHA KUFANYA NGONO NA MTOTO WA DARASA LA 3 KICHAKANI IRINGA
Mfano wa kichaka Na Mwandishi wetu - Iringa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia mwanamke mwanamke aitwaye Desderia Mbwelwe (56) kw...
Friday, May 13, 2022
MGANGA WA KIENYEJI MBARONI KWA KULAWITI WATOTO 6 AKIWAFANYIA MATIBABU AKIWAPAKA MAFUTA
Mganga wa kienyeji Na Walter Mguluchuma - Katavi Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linamshikilia mganga wa kienyeji aitwaye Akili Abakuk...
Thursday, May 12, 2022
WAZAZI WATINGA MAHAKAMANI WAKITAKA KIJANA WAO ASIYEZAA AWALETEE MJUKUU AU ALIPE FIDIA YA BIL. 1.5
Mtoto wao amedumu katika ndoa miaka 6 bila mtoto **** Huko nchini India wazazi wamefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka w...
WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO ATINGA BUNGENI NA WAKE ZAKE WAWILI.....'HAYA NI MAHABA MAZITO SANA'
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akiwa na wake zake ** Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amesema kwamba ushirikiano anaopewa na wake zake wawili hauone...
Wednesday, May 11, 2022
KIJANA MBARONI TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE MZAZI AKIDAI KUCHEPUKA NA MKEWE
Na Hamida Ramadhan Dodoma MKAZI wa Kijiji Cha Ilangali,Kata ya Manda Tarafa ya Mpwayungu,Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Shabani Chilingo...
Saturday, May 7, 2022
MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU AMUUA 'EX' WAKE DARASANI ALIVYOBAINI KAPATA MWANAUME MWINGINE
Shule ambayo mauaji yalifanyika Polisi nchini Kenya wanamshikilia mwanafunzi wa kidato cha tatu aitwaye Tony Kiptoo (19) kwa kosa la kumuua ...
Thursday, May 5, 2022
WAWILI WAKAMATWA TUHUMA ZA KULAWITI BINTI WA DARASA LA SITA....MWENYEWE ASEMA MAMA YAKE KARUHUSU AFANYE MAPENZI NA BABA MWENYE NYUMBA TU
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi wa Polisi George Kyando *** Wanaume wawili mmoja mwenye umri wa Miaka 42 na ...
TMEPiD YAENDESHA MAFUNZO YA UHAMASISHAJI USHIRIKI SAWA WA WANAUME KATIKA AFYA YA UZAZI NA MAENDELEO
Mratibu wa Mradi wa Ushiriki Sawa wa Wanaume katika Afya ya Uzazi na Maendeleo kutoka Shirika la TMEPiD, John Maliyapamba Komba akizungumza ...
BAKWATA MWANZA YAWAKUTANISHA WANANDOA KONGAMANO LA 'USIKU WA RAHA'... KIVULINI YATAKA WAONGEZE MAHABA NYUMBANI
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa Mwanza limewakutanisha wanandoa kupitia kongamano maalum la 'Usiku wa Raha' lengo lik...
Saturday, April 30, 2022
MBUNGE ANASWA AKIANGALIA VIDEO ZA NGONO BUNGENI
Neil Parish Mbunge aliyenaswa akiangalia video za ngono Bungeni *** MBUNGE wa Jimbo la Tiverton na Honiton nchini Uingereza Neil Parish yup...
SHEIKH KABEKE AWATAKA WANANDOA WASIISHI KWA MAZOEA..."NDOA HAIZOELEKI"
Sheikh wa Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke ametoa rai kwa wanandoa kuacha kuishi kwa mazoea na badala yake kila siku waifanye ndoa kuwa kitu kipya...
Thursday, April 28, 2022
Dkt. FIMBO : MTUMIAJI WA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ATAKUFA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Dkt. Adam Fimbo ** Mkurugenzi Mkuu wa TMDA Dkt. Adam Fimbo, amesema kwamba watumiaji...
HAYA NDIYO MAHARAGE YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME
Maharage aina ya Jesca KUTOKANA na kuwa na ongezeko kubwa la wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume tafiti zimeonesha kuwa kuna aina ya m...
Wednesday, April 27, 2022
KIJANA AMUUA BABA YAKE MZAZI BAADA YA KUMKUTA AMELALA NA MKEWE KITANDA KIMOJA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP George Kyando *** Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Kijana aitwaye Mwandu Shija mwenye umri wa miak...
Monday, April 25, 2022
MREMA NA MKEWE WAHITIMISHA FUNGATE LAO KIBABE
MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Taifa, Dkt.Augustine Lyatonga Mrema ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuimarisha ulinzi k...
Sunday, April 24, 2022
BIKIRA MWENYE MIAKA 70 ATAMANI MME.... ASEMA 'HAJAWAHI KULALA NA MWANAUME, HAJUI HATA INAKUWAJE!'
Mwanamke mwenye umri wa miaka 70, Verena, ambaye amekataliwa kimapenzi anasema hajakata tamaa na ana matumaini atakutana na mwanaume wake.
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.