Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts

Wednesday, March 20, 2019

Wimbo Mpya : ENOCK BELLA - WALIFUATA JINA

Wimbo Mpya : ENOCK BELLA - WALIFUATA JINA

Huu hapa Wimbo Mpya Enock Bella unaitwa Walifuata Jina
Video Mpya : MASU BOY - HELENA

Video Mpya : MASU BOY - HELENA

Ninayo hapa video mpya ya msanii Masu Boy kutoka Mabatini jijini Mwanza inaitwa Helena..Itazame hapa chini

Tuesday, March 19, 2019

ZANTEL YAENDELEA KUWAPA NEEMA WATEJA WAKE KUPITIA PROMOSHENI YA EZYPESA

ZANTEL YAENDELEA KUWAPA NEEMA WATEJA WAKE KUPITIA PROMOSHENI YA EZYPESA

Promosheni ya Tumia EzyPesa kwa watumiaji wa mtandao wa Zantel kutuma na kupokea fedha ambayo iliazinduliwa mwezi uliopita na itakayodu...
KOFFI OLOMIDE AHUKUMIWA KWA KUMBAKA MNENGUAJI WAKE

KOFFI OLOMIDE AHUKUMIWA KWA KUMBAKA MNENGUAJI WAKE

Koffi Olomidé, mojawapo ya nyota wa muziki Afrika , amepatikana na hatia kwa ubakaji wa mojawapo ya wanengeuaji wake alipokuwa miaka 15...

Saturday, March 16, 2019

SIMBA YATEMBEZA KICHAPO KWA WAKONGO AS VITA...YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

SIMBA YATEMBEZA KICHAPO KWA WAKONGO AS VITA...YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

Simba SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemo...

Thursday, March 14, 2019

Video Mpya : CHUCHE BHAY - NAKUKUMBUKAGA

Video Mpya : CHUCHE BHAY - NAKUKUMBUKAGA

Hii hapa video Mpya ya Msanii Chuchu Bhay ambaye pia  Mtayarishaji  wa Muziki  inaitwa Nakukumbakaga..Itazame hapa chini imeongozwa na ...
Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBU

Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBU

Hii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Chadogy Ng'wana Maria inaitwa Bhutolwa Bhulambu. Imetengenezwa Hardtone studio na...

Wednesday, March 13, 2019

Wimbo Mpya : GIGY MONEY FT TUSHYNNE - CHANGANYA

Wimbo Mpya : GIGY MONEY FT TUSHYNNE - CHANGANYA

Huu hapa wimbo wa Gigy Money Ft Tushynne  unaitwa Changanya

Monday, March 11, 2019

Video Mpya : MAMA USHAURI - SAMIA SULUHU

Video Mpya : MAMA USHAURI - SAMIA SULUHU

Hii hapa video ya wimbo wa Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri kuhusu Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia alipofanya ziara mkoani Shiny...
Video : HARMONIZE Ft DIAMOND PLATNUMZ & BURNA BOY – KAINAMA

Video : HARMONIZE Ft DIAMOND PLATNUMZ & BURNA BOY – KAINAMA

Tazama video ya Harmonize Ft Diamond Platnumz & Burna Boy – Kainama

Saturday, March 9, 2019

AS VITA WAICHAPA AL AHLY 1-0

AS VITA WAICHAPA AL AHLY 1-0

Timu ya AS Vita imefufua matumaini ya kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ka...

Wednesday, March 6, 2019

Wimbo Mpya : MAMA USHAURI Ft NG'WANA NG'WASHI - MERIMELA

Wimbo Mpya : MAMA USHAURI Ft NG'WANA NG'WASHI - MERIMELA

Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenez...
WAZUNGU WA SINGIDA UNITED WATISHIA KUFUNGASHA VIRAGO

WAZUNGU WA SINGIDA UNITED WATISHIA KUFUNGASHA VIRAGO

Wakati Singida United inatapatapa kujinasua kushuka daraja, makocha wake wawili wa kigeni wametishia kufungasha virago na kurejea mak...

Monday, March 4, 2019

Tazama Picha :MAZISHI YA RUGE MUTAHABA...AZIKWA KISHUJAA KIJIJINI KWAO

Tazama Picha :MAZISHI YA RUGE MUTAHABA...AZIKWA KISHUJAA KIJIJINI KWAO

Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba umezikwa kishujaa nyumbani kwao katika ki...
Video Mpya : VAN - NALIA

Video Mpya : VAN - NALIA

Ninayo hapa video mpya ya Msanii wa Bongo fleva Van inaitwa Nalia...Itazame hapa chini
Tazama Picha : MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MSIBA WA RUGE MUTAHABA BUKOBA

Tazama Picha : MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MSIBA WA RUGE MUTAHABA BUKOBA

Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba yamehudhuriwa na vigogo zaidi ya kumi wakiwemo Mawaziri...

Saturday, March 2, 2019

Picha :  DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA WALIVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA RUGE MUTAHABA

Picha : DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA WALIVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA RUGE MUTAHABA

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuutoa salamu kwa Ruge ...
MSANII BARNABA AANGUKA AKIMUAGA RUGE MUTAHABA

MSANII BARNABA AANGUKA AKIMUAGA RUGE MUTAHABA

Msanii wa kizazi kipya Barnaba amesababisha vilio kutawala baada ya kushindwa kumalizia hotuba yake huku akiomba afunguliwe jeneza kumu...
YANGA WAITWANGA ALLIANCE FC 1 - 0 CCM KIRUMBA

YANGA WAITWANGA ALLIANCE FC 1 - 0 CCM KIRUMBA

Timu ya Yanga SC imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Alliance FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
MSANII NANDY AMWAGA MACHOZI AKIMWIMBIA MAREHEMU RUGE

MSANII NANDY AMWAGA MACHOZI AKIMWIMBIA MAREHEMU RUGE

MSANII wa Bongo Fleva, Nandy ameshindwa kabisa kuendelea kuimba wimbo wa Angel Benard, Nikumbushe ambao Nandy aliufanya Cover.