KOREA WAIFUNGASHIA VIRAGO UJERUMANI KOMBE LA DUNIA .....WAMEPATA TABU SANA
Wakufunzi wa Ujerumani wakishangaa uwanjani

***
Bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia Ujerumani ameondoshwa/ametupwa nje katika mchuano wa kombe la dunia 2018 kwa kukung'utwa bao 2-0 na Korea katika mchezo uliofanyika leo Juni 27,2018.

Korea imelipiza kisasi kufungwa nyumbani 2002, nusu fainali.

Son Heung-min amedunga msumari wa mwisho jeneza la Ujerumani baada ya bao la awali la Kim Young-gwon kukubaliwa.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.