Video Mpya : WIMBO MPYA WA ASKARI POLISI TANZANIA UNAITWA 'KAZI YAO'


Nakualika kutazama Video ya wimbo wa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha (Tanzania police) unaitwa ‘Kazi yao’ wameimba mazingira wanayokumbana nayo Polisi wakiwa kazini katika kukabiliana na wahalifu. Bonyeza hapa chini kuutazama
Theme images by rion819. Powered by Blogger.