Showing posts with label matukio. Show all posts
Showing posts with label matukio. Show all posts
Monday, August 15, 2022
Tume Huru ya uchaguzi ya Kenya (IEBC) imemtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule wa Kenya kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo. Rut...
DKT. MPANGO APONGEZA CRDB BANK MARATHON KUKUSANYA SHILINGI BILIONI 1.05 KUSAIDIA JAMII
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa pongezi kwa mbio za hisani za kimataifa zinazoandaliwa na Benki ya CRDB “CRDB Bank Marathon” kwa k...
Sunday, August 14, 2022
MZIGO MPYAA!! KARIBU NNIENET TUNAZO NGUO ZA NDANI NZURI SANA....HEBU TAZAMA HAPA
Karibu katika duka la NNIENET Under Wear ! Tunauza nguo za ndani kutoka Uturuki; rika zote wanaume, wanawake na watoto Tunazo Chupi, Boxer, ...
KIMAMBO FASHION NDIYO HABARI YA MJINI!! NGUO BORA KWA BEI NAFUU 0762 656 192
Karibu Kimambo Fashion kwa nguo nzuri zenye ubora wa kiwango cha juu kwa gharama nafuu kabisa!! Duka la Nguo la Kimambo Fashion lipo Soko K...
NEY FASHION CLASSIC WEAR NI KITUO CHA NGUO ZOTE KALI UNAZOPENDA...KARIBU DUKANI KWETU
Je? unahitaji nguo nzuri , bora na imara kwa gharama nafuu!! Basi usisumbuke tena kwenda hapa na pale kusaka pamba kali! Njoo Ney Fashion ...
Saturday, August 13, 2022
YANGA YABEBA UBINGWA NGAO YA JAMII....MAYELE AWATETEMESHA SIMBA KWA MKAPA
MABINGWA wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara Timu ya Yanga imepindua meza baada ya kuongozwa bao mpaka kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wat...
Picha : MAADHIMISHO MIAKA 50 YA WAWATA YAFANYIKA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA...KABAKA AONGOZA KUWEKA ALAMA KWA WATAWA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Wanawake wa Katol...
MWALIMU AUAWA ALIPOSIMAMA KUMSAIDIA MTU ALIYEMKUTA KALALA BARABARANI
Mfano wa mtu aliyelala barabarani ** Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju Masasi mkoani Mtwara Mwanahawa Shaibu (50) ameuwa kwa kushambuliwa kwa...
AMUUA MKE WAKE ALIYEFUNGA NAYE NDOA MWEZI ULIOPITA
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31) mkazi wa kitongoji cha Maskati kata ya Tegetero Halmashauri ya Morogoro kw...
DOWNLOAD/ INSTALL UPYA APP YA MALUNDE 1 BLOG..Tumeboresha zaidi
Toleo Jipya la App ya Malunde 1 blog , Kama unayo kwenye simu Pakua Upya mtu wangu... Bofya mara Moja <<Hapa>> Ili kuwa wa kwan...
Friday, August 12, 2022
MABINTI WADOGO WALIOPEWA JINA 'DAMU CHAFU' WAVAMIA KIJIJI NA KUUZA NGONO KWA BUKU '1000'
Kijiji cha Katisunga Wanawake wa Kijiji cha Katisunga wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi wamehofia ndoa zao kuvunjika kutokana na makundi ya wa...
BASI LA JAMBO LATEKETEA KWA MOTO MJINI SHINYANGA
Basi la Kampuni ya Jambo Food Products linatumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea kwa moto leo Ijumaa Agosti 12,2022 katika e...
Thursday, August 11, 2022
POLISI SHINYANGA WAKAMATA WATU SITA WAKITOROSHA DHAHABU NA MABURUNGUTU MAMILIONI YA FEDHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi akionesha fedha shilingi Milioni 97 (Tsh 97,025,000/= walizokamatwa nazo watu sita wan...
MATOKEO YA MWISHO KURA YA URAIS UCHAGUZI KENYA KUTANGAZWA NA IEBC
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC Wafula Chebukati amewataka wananchi kutokuwa na hofu kutokana na kutofautiana kwa matokeo y...
AJALI YAUA WATU SITA SINGIDA
Gari lililopata ajali Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum, kuacha njia na kupinduka katika e...
🛑 FUATILIA HAPA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU KENYA 2022
Bofya ***HAPA*** KUONA LIVE MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU KENYA 2022
Wednesday, August 10, 2022
ADAKWA NA POLISI AKIJIANDAA KUMUUA JIRANI YAKE AKITUHUMU KUCHEPUKA NA MKE AKIWA GEREZANI
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Ally Hamad Makame akitoa taarifa kwa wandishi wa Habari juu ya kukamatwa kwa mtuhumiwa aliyekuwa amep...
MGEJA ALIVYONOGESHA SIMBA DAY… ATUMA OMBI KWA MO DEWJ
Kushoto ni Khamis Mgeja Na Mwandishi wetu,Kahama MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Shinyanga (SHIREFA) na mdau mkubwa w...
Tuesday, August 9, 2022
MIILI YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI ILIYOUA WATU 20 KAHAMA YAENDELEA KUTAMBULIWA....HAYA HAPA MAJINA...YUMO FUNDI MAARUFU WA KAMERA LEONARD BASU
Leonard Basu enzi za uhai wake Miili ya Watu 16, kati ya 20 ya waliofariki dunia kutokana na ajali ya magari matatu na trekta iliyotokea kat...
RC MJEMA AZINDUA MEDALI, JEZI & NAMBA MBIO ZA SHINYANGA MADINI MARATHON
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akizungumza jambo wakati akizindua Medali, Jezi na Namba za washiriki Shinyanga Madini Marathon. Pic...
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.