Post Top Ad
Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts
Monday, May 23, 2022
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muunga...
Friday, May 20, 2022
Picha : RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO VIONGOZI WAKUU WA CCM NA CHADEMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demo...
Tuesday, May 17, 2022
CHADEMA NA TAMKO JINGINE KUHUSU MDEE NA WENZAKE 18..SASA KUBAINI WASALITI
Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake 18 *** Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kesi ya madai iliyofu...
Monday, May 16, 2022
MAHAKAMA KUU YARIDHIA WABUNGE 19 WALIOFUKUZWA CHADEMA KUENDELEA NA UBUNGE WAO
SpikaMahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeridhia wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na CHADEMA kuendelea na ubunge wao mp...
Thursday, May 12, 2022
WABUNGE 19 WALIOFUKUZWA CHADEMA WAFUNGUKA... HALIMA MDEE ASEMA KILICHOFANYIKA NI UHUNI MTUPU...MBOWE AJIBU UHUNI WAO
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limetupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama wake 19 na kubariki maamuzi ya kuw...
Wednesday, May 11, 2022
MBOWE AWATAKA VIONGOZI WA CHADEMA KUHESHIMU VYAMA VINGINE...CCM NA CHADEMA KUKUTANA WIKI IJAYO
Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe amewataka viongozi wa CHADEMA kuheshimu vyam...
MBUNGE ATAKA KISUKUMA KIWE LUGHA YA BIASHARA TANZANIA
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga ** Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kw...
DC MBONEKO AONYA MATUMIZI FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO, WAKANDARASI WAZINGUAJI...ATAKA USHIRIKIANO MADIWANI NA WATENDAJI
Mkuu wa wilaya ya Shinayanga Jasinta Mboneko akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani Manispaa ya Shinyanga. Na Marco Maduhu, SHINY...
MPINZANI MKUU WA RAIS MUSEVENI WA UGANDA BOBI WINE AHUTUBIA BARAZA KUU LA CHADEMA TANZANIA.... ATAKA WAWEKEZE KWA VIJANA
Msanii na mwanasiasa wa Upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ameutaka uongozi wa CHADEMA kuwekeza nguvu katika ...
Picha : HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WALIVYOWASILI MLIMANI CITY KUSIKILIZA HATMA YAO CHADEMA
Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake 18 wamefika kusikiliza rufaa zao katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. ...
Monday, May 9, 2022
NDUGAI ATANGAZA KUUPIGA CHINI UBUNGE
Mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Sunday, May 8, 2022
MWENYEKITI WA UWT NJOMBE APONGEZA UBORA WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi(UWT) Mkoa wa Njombe Scholastika Kevela ameisifu ubora wa filamu ya 'Royal Tour&...
Wednesday, May 4, 2022
UWT NJOMBE WATOA PONGEZI KWA UONGOZI WA CCM TAIFA KAULI YA RAIS SAMIA NYONGEZA YA MISHAHARA
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe Scolastika Kevela ameunga mkono hatua ya uongozi wa CCM Taifa k...
Friday, April 29, 2022
MBUNGE WA BARIADI MHANDISI KUNDO AKABIDHI MABATI UJENZI WA ZAHANATI NYANGUGE...AWAPONGEZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI
Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mhandisi Kundo Mathew (mwenye kanzu nyeupe) akikabidhi mabati 150 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha N...
Wednesday, April 27, 2022
Picha : MWILI WA MBUNGE IRENE NDYAMKAMA WAAGWA BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Ir...
Sunday, April 24, 2022
Tanzia : MBUNGE IRENE ALEX NDYAMKAMA AFARIKI DUNIA
Irene Alex Ndyamkama enzi za uhai wake Na Godfrey Nnko SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson ametan...
Friday, April 22, 2022
RATIBA YA YA KUCHUKU NA KUREJESHA FOMU ZA MAOMBI YA UONGOZI CCM NGAZI YA TAWI
Ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu za maombi ya uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya tawi. i. Mwenyekiti wa CCM wa Tawi. ii. Kat...
Monday, April 11, 2022
CCM SHINYANGA MJINI YAMSHUKURU RAIS SAMIA KUMWAGA FEDHA NYINGI ZA MIRADI...MWENYEKITI AONYA MAJUNGU, KUCHAFUANA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini kilichofanyi...
MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ANG'OLEWA
Madiwani wa Manispaa ya Moshi wamepiga kura ya kumuondoa meya wa wa manispaa hiyo Juma Raibu kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Sunday, April 10, 2022
Picha : MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KINANA JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia katika hafla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdu...
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.