Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Thursday, January 17, 2019

MWANDISHI WA HABARI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

MWANDISHI WA HABARI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Mwandishi wa habari za upelelezi nchini Ghana amepigwa risasi hadi kufa wakati akiendesha gari kwenda nyumbani, baada ya mwanasiasa kui...
CCM YAGOMA KURUDI KWENYE CHAMA KIMOJA TANZANIA

CCM YAGOMA KURUDI KWENYE CHAMA KIMOJA TANZANIA

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema wanaodhani kuwa chama hicho kinataka mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa ili nchi irudi kwenye m...
Usikubali Kupitwa na Habari :  Pakua  Upya App  ya Malunde 1 blog ...Imeboreshwa Kukupa Raha zaidi

Usikubali Kupitwa na Habari : Pakua Upya App ya Malunde 1 blog ...Imeboreshwa Kukupa Raha zaidi

Kuwa wa Kwanza kupata habari na matukio yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla kwa kupakua/ kudownload App ya Malunde 1 blog  tukuhabari...
WAZIRI MAY KUWASHIRIKISHA WAPINZANI

WAZIRI MAY KUWASHIRIKISHA WAPINZANI

Baada ya mpango wake wa Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya kukataliwa bungeni na yeye pia kuponea kura ya kutokuwa na imani naye,...
GITEGA KUWA MJI MKUU WA BURUNDI

GITEGA KUWA MJI MKUU WA BURUNDI

Bunge nchini Burundi limeidhinisha mswada wa sheria ya kuhamisha mji mkuu ya serikali kutoka Bujumbura hadi Gitega.
CAG AMJIBU SPIKA NDUGAI...ASEMA ANA NIA YA KUHOJIWA

CAG AMJIBU SPIKA NDUGAI...ASEMA ANA NIA YA KUHOJIWA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ana nia ya kuitikia wito wa Spika Job Ndugai kwa sababu ...
MWANAMKE AUAWA KWA KUSHAMBULIWA NA MAMBA

MWANAMKE AUAWA KWA KUSHAMBULIWA NA MAMBA

Mwanamke mmoja raia wa Indonesia ameuawa na Mamba huko Sulawesi baada ya kuanguka karibu nae.
SERIKALI YAMJIBU LISSU

SERIKALI YAMJIBU LISSU

Mbunge wa Singida mashariki (Chadema) Tundu Lissu.  Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amemjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadem...
WATU 900 WAUAWA CONGO

WATU 900 WAUAWA CONGO

Vita vya kikabila Magharibi mwa Jamhuri ya Kidmeokrasia ya Congo vimesababisha vifo vya takriban watu 890 katika muda wa siku tatu mwezi ...
SPIKA NDUGAI : ZITTO KABWE ANANIPA TABU

SPIKA NDUGAI : ZITTO KABWE ANANIPA TABU

 Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mbunge anayempa shida pale anapotaka kumwadhibu ni Zitto Kabwe.
 NAIBU WAZIRI WA MADINI  AAGIZA  WAMILIKI WA MGODI KUKAMATWA

NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA WAMILIKI WA MGODI KUKAMATWA

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ameamuru kukamatwa kwa Wamiliki wa mgodi wa Nyakavangala unaomilikiwa na Thomas Masuka and Partn...
WAFANYAKAZI WA AIRTEL WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUINGILIA MFUMO WA MTANDAO

WAFANYAKAZI WA AIRTEL WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUINGILIA MFUMO WA MTANDAO

Wafanyakazi wawili wa kampuni ya simu ya Airtel na wengine tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikab...
MBOWE NI MGONJWA ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI ..ZITTO KABWE AFUNGUKA

MBOWE NI MGONJWA ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI ..ZITTO KABWE AFUNGUKA

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekitaka Chama Cha D...
TUNDU LISSU : NIPO TAYARI KUGOMBEA URAIS TANZANIA

TUNDU LISSU : NIPO TAYARI KUGOMBEA URAIS TANZANIA

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu ameendelea kusimamia msimamo wake kuwa yupo tayari kugombea urais mwaka 2020 endapo cha...
RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU ZAIMULIKA SAUDIA NA CHINA

RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU ZAIMULIKA SAUDIA NA CHINA

Saudia na China zamulikwa katika ripoti ya dunia ya haki za binadamu
IDADI YA WALIOUAWA KENYA YAFIKIA 21,WENGINE 50 HAWAJULIKANI WALIPO

IDADI YA WALIOUAWA KENYA YAFIKIA 21,WENGINE 50 HAWAJULIKANI WALIPO

Inspekta Jenerali wa Kenya Joseph Boinnet Idadi ya waliouawa katika shambulizi la kigaidi nchini Kenya imefikia 21, baada ya serikali y...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA  LEO ALHAMISI 17.01.2019 HIGUAIN KUTUA DARAJANI

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO ALHAMISI 17.01.2019 HIGUAIN KUTUA DARAJANI

Chelsea wameamua kumsajili Gonzalo Higuain baada ya Juventus kukubali ofa yao. Mshambuliaji huyo raia wa Argentina alikuwa akichezea AC M...
RADI YAJERUHI  WANAFUNZI 14 MULEBA

RADI YAJERUHI WANAFUNZI 14 MULEBA

Wanafunzi 14 wa shule ya sekondari Rulongo wilayani Muleba Mkoa wa Kagera wamelazwa katika hospitali ya Lubya wilayani humo baada ya kuje...
MWILI WAOKOTWA UKIWA UMEFUNGWA KWENYE KIROBA

MWILI WAOKOTWA UKIWA UMEFUNGWA KWENYE KIROBA

Mwili wa mtu mmoja umeokotwa eneo la sayansi jirani na Chuo cha Ustawi wa jamii ukiwa umefungwa kwenye kiroba.
MAWASILIANO YA BARABARA YA MOROGORO - DODOMA YAREJEA

MAWASILIANO YA BARABARA YA MOROGORO - DODOMA YAREJEA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elias Kwandikwa, amewahakikishia wananchi na watumiaji wa barabara ya...