ALIYETONGOZA KUPITIA FACEBOOK AFUNGWA JELA..ALITAKA "KUMPIGA SALUTI" BINTI WA WATU......
Mwanaume mmoja 20,aliyetumia Facebook kumtongoza mwanafunzi mwenza kwa nia ya kushiriki ngono naye amehukumiwa kifungo cha mwak…
Mwanaume mmoja 20,aliyetumia Facebook kumtongoza mwanafunzi mwenza kwa nia ya kushiriki ngono naye amehukumiwa kifungo cha mwak…
Afisa mmoja katika Chuo Kikuu cha Zimbabwe amesimamishwa kazi baada yake kudaiwa kumpa Rais Robert Mugabe kofia isiyomtosha vy…
Watu 224 wamefariki baada ya ndege ya shirika moja la Urusi kuanguka katika eneo la Sinai nchini Misri. Ndege hiyo aina ya Ai…
Bonyeza play kusikiliza wimbo huu
Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamesema baada ya kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu w…
Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ), limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunaz…
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampun…
Baraza la mitihani la taifa limetoa matokeo ya kumaliza elimu ya msingi ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 10.85 ambapo m…
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (Cuf), Maalim Seif Sharif Hamad akitoa msimamo wa chama chake baada ya T…
Tumezoea kuona majeneza yakitumika kuhifadhia miili ya Marehemu au watu waliofariki, uliwahi kufikiria kuna mtu anaweza kut…
Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametol…
Tukiwa bado katika muende…
Rais Mteule Dk John Magufuli ameamua kufunguka kuhusu ugumu aliokabiliana nao wakati wa mchakato wa kampeni akieleza kuwa uchagu…
Hapa ni katika ukumbi wa Vijana Center uliopo katika kanisa la Mama Mwenye Huruma Ngokolo mjini Shinyanga,ambako leo Oktoba 3…
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteul…
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa kiti cha urais, Dk Joh…
Kulikuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya migomo ya Walimu Kenya wakidai nyongeza ya mishahara… hiyo ni moja ya stori ambay…
Mbunge Mteule wa jimbo la Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga amesema ushindi walioupata wagombea wa ccm, katika Majimbo m…
Mgombea Urais wa CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwanadi Mgombea Ubunge wa Kahama Ndugu Jumanne Kishimba pamoja na Mgombea Ubung…
Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi …
Tume ya uchaguzi ya Tanzania Bara (NEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji Damian Lubuva imemtangaza Rasmi mgombea Urais …
Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji amezuiwa kuingia katika chumba cha kutangazia matokeo ya urais katika ukumbi wa Juliu…
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasir…
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi mkuu wa Zanzibar October 28 2015…
MPAKA SASA MATOKEO YA MAJIMBO 195 YAMESHATOLEWA HIVYO YAMEBAKI 69 ILI MSHIN…
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa kufutwa kwa uchaguzi mkuu Zanz…
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imeufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar kutokana na kuwa na dosari nyingi ikiwemo uchaguzi kutokuwa hur…
Wagombea wa CCM na Chadema wanaendelea kuchuana vikali kwenye mbio za urais baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutanga…
Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza ma…
Jimbo la Nyamagana Mwanza ambalo lilikuwa chini ya mbuge Ezekiel Wenje lipo kwenye headlines sasa hivi ambapo matokeo ya ucha…
Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya October 28 na Alhamis ya October 2…
Tunaendelea kuzipata updates kila wakati kutoka Tume ya Taifa ya …
Mshindi wa ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum Ally akishangilia baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi nafasi y…
NB-Siyo gari la polisi lililosababisha majanga Polisi wanne waliokuwa doria wakati wa uchaguzi juzi usiku, walijikuta wakionj…
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu Ndugu Elias John Kwandikwa…
Matokeo ya ubunge jimbo la Kahama Mjini Matokeo haya hapa:
Jimbo la Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi wa Chadema, ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 97675, dhidi ya mpinzani wake wa karibu …
Mheshimiwa Wiliam Lukuvi katetea kiti chake cha ubunge.Jimbo la Sumbawanga Mjini: Aeshi Hilaly wa CCM, ameshinda kwa jumla ya …
Aliyekuwa naibu meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila,ambaye amefanikiwa kutetea kata yake ya Ndembezi kwa kupata kura 4…
Vipande vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema…