ANGALIA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA TANZANIA 2015



Baraza la mitihani la taifa limetoa matokeo ya kumaliza elimu ya msingi ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 10.85 ambapo mtihani uliopita wanafunzi walifaulu kwa asilimia 56.99 tofauti na mwaka huu ufaulu umeongezea hadi asilimia 71.58.


Akitoa tarifa za matokeo hayo katibu mtendaji wa baraza hil Dk. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 518,034 kati ya 763,602 waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Aidha katibu huyo amesema Jumatatu ya wiki ijayo wanafunzi 448,358 wanatarajiwa kufanya mitahia ya kumaliza kidato cha nne kwa nchi nzima na hivyo ameiomba jamii kutoa ushirikino wa wanafunzi kufanya mitihani yao kwa umakini mkubwa.

Haya  ndiyo  Matokeo...Bonyeza  Mkoa   husika  kuyaona
ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
IRINGAKAGERAKIGOMA
KILIMANJAROLINDIMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZAPWANIRUKWA
RUVUMASHINYANGASINGIDA
TABORATANGAMANYARA
GEITAKATAVINJOMBE
SIMIYU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527