NIMEKUWEKEA HAPA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA USHETU WILAYANI KAHAMA
Monday, October 26, 2015
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu Ndugu Elias John Kwandikwa-Picha kutoka Maktaba yetu
Matokeo ya ubunge jimbo la Ushetu. Elias Kwandikwa(CCM) kura 46,958 Isaya Bukakiye(Chadema) kura 21,365 John Kitibu(NCCR Mageuzi) kura 782 Charles Lubala( Act Wazalendo) kura 88
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin