MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA HAJI DUNI AZUIWA KUINGIA CHUMBA CHA KUTANGAZIA MATOKEO YA URAISMgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji amezuiwa kuingia katika chumba cha kutangazia matokeo ya urais katika ukumbi wa Julius Nyerere wakati zoezi hilo likiendelea baada ya kueleza kuwa ameleta hati ya pingamizi ya matokeo.

Hata hivyo walinzi wa eneo la kutangazia matokeo walimkatalia kuingia katika chumba hicho na kumtaka aende Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchguzi (NEC) kuwasilisha hati yake hiyo na kisha kusindikizwa kwenye gari alilokuja nalo lenye namba T754 DDY aina ya Toyota.
Via>>Itv

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post