HAYA HAPA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA SOLWA SHINYANGA,AHMED SALUM ANG'AA, CCM WAKOMBA KATA ZOTE 25Mshindi wa ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum Ally akishangilia baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi nafasi ya ubunge jimbo la Solwa mchana huu-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog


Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum amepata kura 57,962,Jeremia Mshandete (Chadema) kura 30,648, Mchungaji Budaga Joseph(ACT Wazalendo) kura 1226 na Kisenha(CUF kura 726-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blogMsimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum amepata kura 57,962,Jeremia Mshandete (Chadema) kura 30,648, Mchungaji Budaga Joseph(ACT Wazalendo) kura 1226 na Kisenha(CUF kura 726.-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blogMsimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo amesema wapiga kura waliojiandikisha katika jimbo hilo ni 151,871,waliopiga kura ni 94442,kura halali 90562,zilizokataliwa 3880-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blogMsimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akimkabidhi cheti cha ushindi aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum .


Jimbo la Solwa lina kata 26,uchaguzi umefanyika kwenye kata 25 na zote zimechukuliwa na CCM,Kata moja ya Bukene haijafanya uchaguzi kutokana na mgombea wa udiwani wa CCM David Ngitili kufariki dunia wakati wa kampeni-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post