Maajabu!! MCHUNGAJI WA KANISA ABEBWA JUU JUU KWENYE KITI WAKATI WOTE WA IBADA KANISANI..VIDEO IKO HAPA
Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametolewa kuhusu Kanisa lilipo wala tukio lilitokea lini !!..Mchungaji kabebwa juujuu kwenye kiti na waumini huku anaendeleza ibada Kanisani… sijajua huu ulikuwa uamuzi wake kufanya ibada kwa aina hiyo au alikuwa na tatizo jingine… Video hii hapa..

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post