RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA, UINGEREZA NA HISPANIA OCTOBER 31 NA NOVEMBER 1,2015

Tukiwa bado katika muendelezo au mfululizo wa mechi mbalimbali za soka, naomba nikusogezee ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania zitakazochezwa weekend hii, Ligi Kuu Tanzania bara October 31 na November 1 kutakuwa na jumla ya mechi nane, baada ya hapo Ligi Kuu Tanzania bara itasimama hadi December 12 hii inatokana na kupisha maandalizi ya mechi ya Algeria na michuano ya Kombe la Chalenji. Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania, Uingereza na Hispania kwa mechi za October 31 na November 1,2015.

vpl
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara weekend hii zitachezwa saa 16:00
epl
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki October 31
 • Chelsea Vs Liverpool  Saa 15:45
 • Crystal Palace Vs Man Utd  Saa 18:00
 • Man City Vs Norwich Saa 18:00
 • Newcastle Vs Stoke Saa 18:00
 • Swansea Vs Arsenal Saa 18:00
 • Watford Vs West Ham Saa 18:00
 • West Brom Vs Leicester Saa 18:00
Jumapili ya November 1
 • Everton Vs Sunderland Saa 16:30
 • Southampton Vs Bournemouth Saa 19:00
Laliga
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki Jumamosi ya October 31
 • Real Madrid Vs Las Palmas Saa 18:00
 • Valencia Vs Levante Saa 20:15
 • Villarreal Vs Sevilla Saa 20:15
 • Getafe Vs Barcelona Saa 22:30
 • Real Sociedad Vs Celta de Vigo  Saa 00:05
Jumapili ya November 1
 • Eibar Vs Rayo Vallecano Saa 14:00
 • Espanyol Vs Granada CF Saa 18:00
 • Sporting de Gijón Vs Málaga Saa 20:15
 • Real Betis Vs Ath Bilbao Saa 22:30

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post