CCM WAPETA UBUNGE JIMBO LA KAHAMA MJINI,LEMBELI ACHINJWA BILA HURUMA,ANGALIA MATOKEO HAPA
Matokeo ya ubunge jimbo la Kahama Mjini

Matokeo haya hapa:Jumanne Kishimba(CCM) kura 47,555.

James Lembeli(Chadema) kura 30,122.

Bobson Wambura(ACT Wazalendo) kura 605.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post