RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA OCTOBER 28 NA 29, MSIMAMO WA LIGI NA WAFUNGAJI WENYE MAGOLI MENGI



Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya October 28 na Alhamis ya October 29. Ligi hiyo inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali ambapo uwanja wa Taifa Dar es Salaam utapigwa mchezo ambao unatajwa kuwa na presha kwa kocha wa Simba Dylan Kerr ambaye kuna tetesi kuwa uongozi wa Simba umempa mechi mbili afanye vizuri ili kunusuru kibarua chake.

Hii ni ratiba ya mechi za October 28 na 29.


Ratiba za mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 28 na 29


Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara October 27


Wachezaji wanaongoza kwa ufungaji wa magoli

Chanzo:tff.or.tz

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527