Showing posts from November, 2019

SIMBA SC YAMTIMUA KOCHA PATRICK AUSSEMS

Aliyekuwa kocha wa Simba Patrick Aussems Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema uongozi wa Simba umemthibtitishia kuwa ye…

TUNDU AINUSA TANZANIA... YUPO KENYA SASA

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki  Tundu Lissu yupo nchini Kenya, akisubiri ‘amri’ ya kuingia nchini endapo atahakikishiwa …

CHAMA TAWALA SUDAN CHAFUTWA

Sheria imepitishwa nchini Sudan ya kuvunja chama cha rais aliyeng'olewa madarakani Omar al-Bashir.

HARMONIZE KUMKABILI ALI KIBA DISEMBA 8

Wasanii wa Tanzania, Alikiba na Harmonize watakutana katika jukwaa moja la tamasha la Fiesta litakalofanyika katika uwanja …

DIAMOND PLATNUMZ AMBWAGA ALI KIBA

Shirika la Utangazaji CNN limetaja wanamuziki bora 10 barani Afrika, akiwemo msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz.

JUMIA YAFUNGA BIASHARA ZAKE TANZANIA

Mtandao wa biashara Barani Afrika umefunga biashara yake nchini Tanzani ikiwa ni siku chache tu baada ya kusitisha shughuli…

DPP AFUTA KESI 59 ZAIDI JIJINI MBEYA

Katika mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Balozi Dkt Augustine Mahiga (Mb) kwenye mikoa ya kusi…

SUMAYE APIGWA CHINI UCHAGUZI CHADEMA

Aliyekuwa mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameshindwa kutetea nafasi hiyo b…

MSANII BI CHEKA AFARIKI DUNIA

Msanii wa Muziki Nchini Tanzania Cheka Hija Mzee Maarufu zaidi Bi Cheka amefariki dunia  leo mchana Novemba 28,2019 katika …

Load More
That is All