MADIWANI WATANO CHADEMA JIJINI ARUSHA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, November 30, 2019

MADIWANI WATANO CHADEMA JIJINI ARUSHA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM

  Malunde       Saturday, November 30, 2019
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni amethibitisha amepokea barua za madiwani watano kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka ndani ya jii hilo kujiuzulu nyadhifa zao.


Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho.

Kutokana na kujiuzulu kwa madiwani hao, Jiji hilo sasa lina madiwani 28 ambapo 20 ni wa Chadema na CCM wanane.

Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, CCM ilipata diwani mmoja lakini hivi karibuni madiwani saba wa Chadema walijiuzulu na kujiunga na chama hicho tawala.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post