SIMBA YAMUUZA KICHUYA MISRI
Kichuya (kushoto) akiwa na Okwi Baada ya jana klabu ya Simba kuweka wazi kuwa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klab…
Kichuya (kushoto) akiwa na Okwi Baada ya jana klabu ya Simba kuweka wazi kuwa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klab…
Yanga SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa penalti 5-4 …
Mkurugenzi Mtendaji TGNP Mtandao Lilian Liundi TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UKATILI DHIDI YA WATOTO HAUKUBALIKI, HA…
Tundu Lissu amesema Bunge la Tanzania halijawahi kutoa hata senti moja kugharamia matibabu yake. Lissu ambaye ni mbunge …
Mtaalamu wa magonjwa ya Damu, Vinasaba na Saratani Professa Lucio Luzatto wa Chuo cha MUHAS akiwasiliasha mada katika konga…
Msanii wa Bongo Fleva, Wema Sepetu na Diamond Platnumz leo Alhamisi Januari 31, 2019 wamekuwa kivutio katika viwanja vya Le…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe amwogope …
Picha haihusiani na habari hapa chini Mabinti wawili wanauguza majeraha ya kuwekeana baada ya kutwangana makonde wakizozani…
Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA), Godbless Lema amesema kuwa endapo Spika wa Bunge Job Ndugai atalithibitishia bunge kuhusu kau…
Kesi inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama na Wabunge 7 wa Chadema, imeendelea leo ambapo imepangiwa Hakimu mpya …
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuanzia sasa ataanza kumjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Li…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa rufaa ya kupinga dhamana iliyokatwa na upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekit…
Jamaa mmoja mwenye umri wa makamo amekimbizwa hospitalini kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya baada ya mkewe kumchoma kwa maji m…
Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Kupambana na Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk Leonard Maboko amesema Watanzania wengi wana mwamko wa …
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia …
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (aliyesimama) ametambulishwa…
Kaimu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Micky Kiliba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo…
Mary Wambui akiwa na mmewe Joseph Kori
Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, Jummane Ngoma enzi za uhai wake
Afisa mmoja wa polisi aliyeshtakiwa kwa madai ya kumuua mkewe pamoja na mtoto mwenye umri wa miaka 5 katika kambi ya maafisa …
Taarifa za siri za watu zaidi ya 14000 waliyo na virusi vya HIV wakiwemo raia wa wageni zimeibiwa nchini Singapore na kuvujis…
Taasisi ya Michezo ya watu wenye Ulemavu wa Akili Tanzania, Special Olympics inahitaji shilingi milioni 45 kwa ajili ya kuisa…
Wananchi mbalimbali wametoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuonekana kwa Bundi ndani ya ukumbi wa Bunge jijini …
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 30,2019 amemteua Dkt. Islam Seif Salum Mchenga…
Kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini ameridhia makubaliano binafsi mkataba wa kibinasi na klabu ya Shandong …
Mwanaume mwenye umri wa makamo kutoka Maralal kaunti ya Samburu amefungwa jela kwa siku 30 baada ya mahakama kumpata na hatia…
Marekani na China wanaanza duru tete ya mazungumzo kuhusu biashara huku kukiwa na matumaini finyu ya kufanikiwa kutokana na m…
Facebook ina mipango ya kuunganisha huduma zake za kutuma ujumbe katika Instagram, WhatsApp na Facebook Messenger. Licha …
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KULAANI MAUAJI YA WATOTO WASIOKUWA NA HATIA MKOANI NJOMBE
Afisa mmoja wa polisi Kaunti ya Kisumu ametiwa mbaroni kwa madai ya kumnajisi mshukiwa aliyekuwa akizuiliwa, Tobias Nakuwa L…
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amesema imebainika kuwa mauaji ya watoto mkoani Njombe ni ya imani za …
Vigogo sita wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akiwamo Mkurugenzi Mkuu wa zamani, Dickson Maimu, wamefikishwa mahaka…
Kitengo cha usalama nchini Misri, kimetoa maagizo kwamba, mashabiki wanaotakiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo kati ya Al…
Na Sharon Sauwa, Mwananchi Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018 jana ulipitishwa bungeni, …
Na Theopista Nsanzugwanko - Habarileo Serikali ya Kenya imetangaza kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa ndani katika m…
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na masuala ya Kijamii nchini (CCI) Tim Ndezi akiwakaribisha …
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa …
Rais John Magufuli amewaasa wakuu wa wilaya kutotumia vibaya sheria na mamlaka walizopewa ikiwamo za kuweka watu ndani na kuw…
Katika hali isiyo ya kawaida Ndege aina ya bundi ameonekana Bungeni akiwa juu kabisa. Baadhi ya wabunge na wageni walio…
Nahodha wa klabu ya Manchester City Vincent Kompany hatopewa kandarasi mpya kulingana na mkufunzi Pep Guardiola.
Marekani imeliwekea vikwazo shirika la mafuta la serikali ya Venezuela PDVSA na kulitaka jeshi la nchi hiyo kuyaunga mkono ma…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.
Cliford Mario Ndimbo. Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), limemteua Afisa Habari wa TFF kuwa Afisa Habari…
Marekani imewasilisha kesi 23 dhidi ya kampuni ya mawasiliano ya China, Huawei.
Michael Wambura Aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kabla ya kufungiwa maisha na TFF na kifungo hicho kuthi…
Mbunge wa Temeke (CCM), Abdallah Mtolea leo Jumanne Januari 29,2019 ameapishwa bungeni jijini Dodoma.
Peti Siyame, Mpanda Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi, limewasimamisha kazi walimu wanne shu…
Arsenal wanatizamia Gary Cahill atawasaidia kuziba mapengo kwenye safu yao ya ulinzi.
Mabingwa watetezi wa kombe la FA, Chelsea, wataminyana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo, Manchester United, katika mzunguko …