Utamaduni Lake Zone_ JE UNAJUA TOFAUTI ILIYOPO KATI YA WASUKUMA WA SHINYANGA NA MWANZA?,FUNGUA HAPA UJIFUNZE ZAIDI
Friday, September 19, 2014
Katika Utamaduni Lake zone,leo tunazungumzia tofauti iliyopo kati ya Wasukuma wa mkoa wa Shinyanga na Wasukuma wa Mwanza,zifuatazo ni dakika chache tu za kumsikiliza ,mtaala wa mambo ya asili/mwanahistoria aliyebobea,mzee Sonda Kabeshi kutoka kata ya Masekelo katika manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga anayepatikana kwa simu namba 0783 495 796.
Simulizi ya leo ni mwendelezo wa simulizi ya jana ambapo tulikuwa tunaangalia maana ya neno Wasukuma,asili ya wasukuma n.k
SIKILIZA HAPA CHINI NA UNAWEZA KUDOWNOAD PIA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin