Showing posts with label vituko. Show all posts
Showing posts with label vituko. Show all posts

Tuesday, January 3, 2017

KATUNI KALI ZA LEO JANUARI 3 2017

Katuni za leo Jumanne January 03 2017
Share:

Thursday, December 15, 2016

Dunia na Vjimambo: KUTANA NA SALAMU ZISIZOKUWA ZA KAWAIDA KUTOKA CAMEROON...INACHEKESHA

Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zinazidi kusambaa mitandaoni.
Share:

Thursday, October 27, 2016

ANGALIA PICHA ZA KUCHEKESHA HAPA
Huu hapa ni mkusanyiko wa picha za kuchekesha na kusisimua za wanyama zilizopigwa mwaka huu, miongoni mwa picha hizi ikiwa moja ya mbweha aliyeingia kichwa kwanza kwenye theluji na nyingine ya nyati aliyegeuzwa choo na ndege mmoja.
Share:

Tuesday, September 20, 2016

KATUNI KALI ZAIDI ZA LEO SEPTEMBA 20,2016


Katuni za leo Septemba 20,2016
Share:

Sunday, September 18, 2016

KATUNI 6 KALI ZA LEO JUMAPILI 18.09.2016Katuni kali za leo Jumapili Septemba 18,2016
Share:

Friday, September 9, 2016

KATUNI 6 KALI ZAIDI LEOShare:

Wednesday, August 3, 2016

Njemba Yasubiri Mpenzi Uwanja wa Ndege Kwa Siku 10 Ili imuone Live ,Walifahamiana Kwenye Mitandao ya Kijamii

Je penzi la kweli lipo ?

Hilo ndilo swali linaloulizwa sana katika mitandao nchini China.
Share:

Friday, July 22, 2016

Msanii Ismail Makombe wa Vituko Show Maarufu Kundambanda Amefariki Dunia


Msanii maarufu wa Vichekesho (Komedi) kutoka kundi la Vituko Show Ndugu. Ismail Issa Makombe a.k.a KUNDAMBANDA, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. 
Share:

Monday, June 13, 2016

Angalia Picha- Majengo Ya Kushangaza Zaidi Duniani...Mengine Yana Muonekano Kama Mdudu


Nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya yanapatikana nchi mbalimbali ikiwemo Ufaransa, Marekani, Korea n.k imejengwa kwa staili ya kipekee kabisa .
Share:

Wednesday, May 25, 2016

Weka Pembeni Mabasi ya Mwendo Kasi,Wachina Wametengeneza Basi Linalopita Juu ya Magari Mengine,Tazama Picha na Video


Kadri Teknolojia inavyozidi kukua kila siku katika upande wa usafirishaji ndivyo ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinavyozidi kupatiwa majibu, kama ilivyo kwa Tanzania ilivyoleta mabasi yaendayo haraka ili kuepuka foleni, ndivyo hivyo imetokea Beijing China ambapo wao wameweza kutengeneza basi la umeme lenye uwezo wa kupita juu ya magari mengine.
Share:

Friday, May 13, 2016

Makubwa Haya!! Walimu Wapewa Vifaranga Vya Kuku Badala ya Mshahara Baada ya Kukosa PesaMji mmoja nchini Uzbekistan umekuwa ukiwapa waalimu wake kuku kama mshahara badala ya pesa. Mamlaka za mji wa Nukus katika jimbo linalojitawala la Karakalpakstan wamekua wakitia vifaranga wachanga kwa walimu kutokana na uhaba wa pesa nchini humo.
Share:

Kutana na Paka Huyu Mzee Zaidi Duniani,Juzi Kashehekea Birth Day Yake,Anakula KUKU Kila Siku

Paka mmoja aliyezaliwa wakati wa utawala wa rais Ronald Reagan mwaka ametajwa kuwa paka mzee duniani.
Share:

Tuesday, April 12, 2016

Wanasayansi Wagundua Dawa ya Kuzuia Mtu KuzeekaDawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uzee.
Share:

Friday, April 1, 2016

Utafiti : WATU WANENE NDIYO WENGI ZAIDI DUNIANI,WANAWAKE VINARA


Utafiti mpya umeonesha watu wazima wengi duniani ni wanene kupita kiasi na kwamba hakuna matumaini ya kufikia lengo la kupunguza idadi ya watu wanene duniani.
Share:

Tuesday, March 22, 2016

Makubwa Haya!! KUTANA NA PAKA HUYU MWIZI WA NGUO ZA NDANI TENA ZA WANAUME TUBrigit akiwa na nguo alizoiba
Share:

Tuesday, March 8, 2016

UTACHEKA SANA LEO UKIANGALIA VIDEO HII,KUTANA NA JAMAA HUYU ANAIGIZA SAUTI ZA WATU WOTE DUNIANIKuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu halafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi… huyu jamaa ni miongoni mwa hao Mamaster, mtazame anaitwa Shaphii Omary  anafurahisha sana.Tazama Video hapa chini
Share:

Tuesday, February 23, 2016

Picha!! HUYU NDIYO MTOTO WA SOKWE ALIYEZALIWA KWA NJIA YA UPASUAJI


Professa David Cahill amezichukua Headline za Feb 23 baada ya kumzalisha Sokwe kwa mara ya kwanza kwa njia ya upasuaji, Sokwe huyo ambaye alihitaji msaada wa kupumua , ndipo alipofanyiwa upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.
Share:

Sunday, February 21, 2016

VITUKO MTANDAONI,ZIKO HAPA PICHA 20 PICHA ZA VITUKO SIMBA SC KUFUNGWA NA YANGA,UTACHEKA MPAKA MBAVU ZIUME,POLE WANA SIMBA

Nimepita katika mitandao mbalimbali ya kijamii,lakini kila kona ni kilio cha Simba SC!! Mashabiki wa Yanga Vicheko..Picha za Vituko kwa watani hawa wa jadi zimekuwa gumzo,nimeona nikusogezee na wewe uone kinachoendelea,nimezikusanya picha 20 angalia hapa mtu wangu
Share:

Friday, February 19, 2016

Picha 15!! MSANII RAY WA BONGO MOVIE AZUA GUMZO MTANDAONI,"KUNYWA MAJI MENGI UWE MWEUPE",TAZAMA PICHA HAPA UCHEKE SANA LEO

 
Msanii Baraka da Prince amejibu kauli ya Ray aliyoitoa hapo jana na kutoa siri ya yeye kubadilika rangi yake, na kusema kuwa anakunywa maji mengi na kufanya mazoezi sana.Akiongea na East Africa Television/ Radio, Baraka amesema kuwa kitu hicho ni mara ya kwanza kusikia maishani mwake, kwani hajawahi kusikia popote duniani.
Share:

TAFUTA HABARI HAPA

HABARI KUU WIKI HII

Picha 45 : RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA KIWANDA CHA VINYWAJI BARIDI JAMBO FOOD PRODUCTS NA FRESHO INVESTMENT CO. LTD CHA MIFUKO SHINYANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Januari 13,2017 amefungua rasmi viwanda viwili mkoani Shinyan...

Msanii Meza- Walwa (Ngoma ya Walevi)

Ngoma : Ng'wana Ishudu - Harusi

Bofya Hapa Chini Kuona Video

 Bofya Hapa

HABARI ZILIZOSOMWA SANA 2016

UNGANA NASI HAPA

MAKTABA YETU

Download Malunde1 blog kwenye simu yako..Bofya Hapa

 Bofya Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde