Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts

Saturday, February 25, 2017

WEMA SEPETU : NIMEVAA GWANDA TAYARI KWA MAPAMBANOALIYEWAHI kuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amekihama rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Share:

Friday, February 24, 2017

TAZAMA HAPA VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ ALIYOSHIRIKISHWA NA MKONGO LOMINO -

Tazama video hiyo hapa chini
Share:

MZEE WA UPAKO AMUONYA NAY WA MITEGO KUFUNGUA KANISA...ADAI ANAMCHEZEA MUNGU KAMA ANA MAMA AMKANYE


Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu.
Share:

Thursday, February 23, 2017

TAARIFA KUHUSU WEMA SEPETU KUHAMIA CHADEMA


Chama cha Demokrasia na Maendeleo kunatarajia kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo na chama hicho akiwemo msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28).
Share:

Wednesday, February 22, 2017

MREMBO MASOGANGE AFIKISHWA MAHAKAMANI SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA

Msanii Agnes Gerald 'Masogange' amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka ya kutumia dawa za kulevya.
Share:

Tuesday, February 21, 2017

MSANII NAY WA MITEGO ATANGAZA KUANZISHA KANISA LAKE...HAPATAKUWA NA UTOAJI SADAKA

Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu. 
Share:

Sunday, February 19, 2017

Wasukuma Mpoo!!!? HII HAPA NGOMA YA MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA'- SUMBHILI,NI YA ASILI HASWAA
Mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mshabiki wa nyimbo za asili,ninafuraha kubwa kukuletea video mpya  inaitwa 'Sumbhili' kutoka kwa Msanii machachari wa nyimbo za Asili Mama Ushauri maarufu 'Ng'ombe Bhulaya' kutoka Tinde mkoani Shinyanga.

Share:

Video Mpya : MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA' - BARCELONA,NGOMA KALI YA MAPENZI & MPIRA WA MIGUU

Kama kawaida Malunde1 blog kukusogezea ngoma za asili,leo nakukutanisha na gwiji wa nyimbo za asili,Mama Ushauri maarufu Ng'ombe Bhulaya,ameachia video mpya inaitwa "Barcelona".
Share:

MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA MCHEZAJI BONNY MWANDANJI

Maelfu ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamejitokeza katika mazishi ya mchezaji wa zamani Geoffrey Bonny Mwandanji aliyefariki dunia juzi na kuzikwa katika makaburi ya kanisa Katoliki Makandana wilayani Rungwe.
Share:

Saturday, February 18, 2017

NINAYO HAPA NGOMA MPYA YA MAMA USHAURI - SAMAHANI


Ninayo video mpya ya msanii maarufu wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde Shinyanga unaitwa "Samahani",ni wimbo matata sana.Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7
Share:

Video Mpya Kabisa!! MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA'- MAMA JENI

Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde mkoani Shinyanga ametualika kutazama video yake mpya inaitwa "Mama Jeni".
Share:

TAZAMA NGOMA MPYA YA MAMA USHAURI - MARIA..FAIDI UHONDO WOTE HAPA

Ninayo Ngoma nyingine kali ya Msanii wa nyimbo za asili,Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,inaitwa Maria. Video imetengenezwa Bicon Studio zilizopo mjini Kahama.
Share:

TAZAMA VIDEO MPYA YA MAMA USHAURI - BABA ELIZA


Kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili,Leo nakukutanisha na msanii Maarufu wa nyimbo za asili Mama Ushauri,"Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,wimbo unaitwa Baba Eliza...
Share:

Video Mpyaa ya Asili !! MAMA USHAURI - MAISHA


Ninayo Video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,inaitwa Maisha,itazame hapa chini..nzuri,ujumbe mzito,wanenguaji nao balaa mtupu
Share:

Wednesday, February 15, 2017

MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AMERUDIA FILAMU YA ADAM NA EVA..TAZAMA HAPA


Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.
Share:

Sunday, February 12, 2017

TAZAMA VIDEO YA MSANII MALE J _ Wimbo "CHEKECHA",WANENGUAJI HAWA NOMA


Share:

Ngoma Mpya Kali ya Asili : NYANDA BETELI KUTOKA KAHAMA - INAITWA 'CHEKECHA'


Tazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Beteli kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Chekecha..Imetengenezwa Angel Studio Recording mjini Kahama ikiongozwa na Masesa.
Share:

SALOME REMIX KISUKUMA- CHADOGY NG'WANAMARIA Ft MANWELL- WAMEIPA JINA 'NGOLO'...NI NGOMA KALI BALAA

Nimekusogezea wimbo unaitwa Ngolo kutoka kwa Chadogy Ng'wanamaria akimshirikisha Manwell,wote wakitokea Kahama mkoani Shinyanga..Ngoma hii ni remix ya wimbo Salome wa Diamond Platnumz.Wimbo huu umetengenezwa na Manwell kutoka studio za Hardtone Recordz za mjini Kahama.

Share:

Sunday, February 5, 2017

WAZIRI NAPE AINGILIA KATI SAKATA LA WASANII KUTAJWA KUHUSIKA DAWA ZA KULEVYA..ATAKA BUSARA ITUMIKE


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati na kutaka busara itumike katika zoezi la kutaja wasanii wanaohusika na dawa za kulevya linalofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Share:

Ngoma Mpya ya Asili: GUMHA SHAGEMBE - HARUSI YA MZEE SUPANA CHAGU.

Ninayo Ngoma ngoma  mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Gumha  Shagembe inaitwa Harusi ya Mzee Supana Chagu.Video hii imetengenezwa katika studio za Passmedia zilizopo Kahama mkoani Shinyanga..Tazama Ngoma hii Kali hapa chini
Share:

Tafuta Habari Hapa

Mzee Dispensary- Shinyanga Mjini

Habari kuu

Picha : DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA ASASI ZA KIRAIA MANISPAA YA SHINYANGA

Ijumaa Februari 24,2017 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imezikutanisha Asasi za Kiraia zilizopo katika manispaa hiyo kwenye sem...

Njaa Shinyanga- Wananchi & Mbunge Masele

Video: Mama Ushauri - Barcelona

Bofya Hapa Kutazama Video

 Bofya Hapa

Habari Zilizosomwa sana mwezi huu

Ungana Nasi Hapa

Maktaba Yetu ya Habari

INSTALL Malunde1 blog kwenye simu yako leo..Bofya Hapa

 Bofya Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde