Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

Sunday, May 21, 2017

MBUNGE AZZA - WASUKUMA SIYO WATU WA KUAMBIWA WAENDE SHAMBANI

Mbunge wa viti Maalumu kutoka Shinyanga, Azza Hilal Hamad amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa mkoa wa Shinyanga unaweza kukabiliwa na upungufu wa chakula hivyo akaitaka serikali kuja na mpango mkakati wa umwagiliaji katika mkoa huo.
Share:

Friday, May 19, 2017

CCM YAMSHANGAA LOWASSA KAULI YA KUTUMA 'MTOTO MDOGO' MAZISHI YA WANAFUNZI LUCKY VICENT

Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha kimeishangaa kauli ya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa kusema kuwa Rais John Magufuli amemtuma ‘mtoto mdogo’ kwenda kuiwakilisha serikali kwenye mazishi ya wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent.
Share:

Thursday, May 18, 2017

KIONGOZI MWINGINE WA CCM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIBITI

Mwenyekiti wa CCM tawi la Njia nne Iddy Kirungi liliopo katika kijiji cha Muyuyu kata ya Mtunda wilayani Kibiti ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake.
Share:

Wednesday, May 17, 2017

MZOZO WAIBUKA KENYA : VYAMA VYA UPINZANI KUSUSIA UCHAGUZI

Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa upinzani wa NASA kuhusu utangazaji wa matokeo rasmi ya kura za Urais.
Share:

Tuesday, May 16, 2017

JINSI WAZIRI WA JK ALIVYOTISHIWA KUFYATULIWA RISASI NA ASKARI POLISI

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, ametishiwa kufyatuliwa risasi na askari polisi.
Share:

MAMA SALMA KIKWETE AZUA GUMZO BUNGENI SUALA LA MIMBA KWA WANAFUNZI

Mchango wa Mbunge wa Kuteuliwa(CCM), Salma Kikwete kuhusu kupinga wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni kuruhusiwa kuendelea na masomo jana ulizua gumzo bungeni kutokana na wabunge kugawanywa na suala hilo.
Share:

Monday, May 15, 2017

Picha: MBUNGE WA TANGA ASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO KWA NEEMA


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika 
Share:

Picha : YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO JUMATATU MAY 15,2017


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakari jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
Share:

MBUNGE AHOFIA MAISHA YAKE MAUAJI KIBITI,AGOMA KUZUNGUMZA


MBUNGE wa Jimbo la Kibiti, Ally Ungando (CCM), amegoma kuzungumzia matukio ya kihalifu na mauaji yanayotokea katika eneo hilo, kwa kuhofia usalama wa maisha yake.
Share:

MBUNGE AKABIDHI VITANDA VYA MILIONI 33 KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amekabidhi msaada wa vifaa tiba katika vituo vya afya na zanahati zilizopo wilaya ya Shinyanga na Kishapu ili kukabiliana na vifo vya mama na mtoto vinavyotokana na uzazi.
Share:

WABUNGE WALALAMIKA KUGEUZWA ATM MASHINE, SACCOS NA WANANCHI


Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema), amesema wananchi wamewageuza wabunge wa Tanzania na kuwa kama mashine za kutolea fedha (ATM) na Vyama vya Kuweka na Kukopa (SACCOS).
Share:

MAPYA YAIBUKA KIFO CHA KATIBU WA CCM, WAUAJI WALIACHA UJUMBE 'MAREHEMU ALIKUWA ANADHULUMU WATU'

Siku moja baada ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia, kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake, imeelezwa kuwa wauaji hao waliacha ujumbe wakidai marehemu alikuwa akidhulumu watu.
Share:

Sunday, May 14, 2017

KATIBU WA CCM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIBITI MKOANI PWANI

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.
Share:

LOWASSA ALAANI SERIKALI KUZUIA KONGAMANO LA DEMOKRASIA DAR

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na aliyekuwa Waziri Mkuu, Mh. Edward Lowassa amelaani vikali kitendo cha serikali ya Mkoa wa Dar es salam kuzuia kongamano la demokrasia lililopangwa kufanyika siku ya jana may 13, Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Share:

Saturday, May 13, 2017

PROFESA JAY AMSHANGAA WAZIRI MWAKYEMBE KUTAKA WASANII WASIIMBE SIASA

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay, ametoa maoni yake kuhusu ushauri wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe aliyewataka wasanii wa Tanzania kuacha kuimba nyimbo zenye jumbe za kisiasa kwani hawatafanikiwa.
Share:

Friday, May 12, 2017

NAPE,KITWANGA WAMTIBUA MBUNGE MSUKUMA BUNGENI,AFUNGUKA NA KUDAI IPO HAJA YA KUHAKIKI WABUNGE

Wabunge wawili waliokuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano, Nape Nnauye (Mtama) na Charles Kitwanga (Misungwi) jana waligeuziwa kibao, wakidaiwa kukiuka maadili ya uongozi baada ya kuzungumza kwa hisia dhidi ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Share:

ACT WAZALENDO WATANGAZA MRITHI WA KITILA MKUMBO

Chama Cha ACT- Wazalendo leo kimemtangaza rasmi Mwanasheria Albert Msando kuwa mrithi wa nafasi ya Mshauri Mkuu wa Chama hicho iliyoachwa wazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
Share:

CCM ZANZIBAR YAWAFARIJI WAATHIRIWA WA MAFURIKO

Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma akipokea maelezo kutoka kwa viongozi wa mtaa akiwemo sheha wa shehia ya Tomondo, Mohamed Omar katika eneo la Ziwa maboga ambapo zaidi ya nyumba 200 zimeathiriwa na mvua za masika zinazoendelea kunyesha.
Share:

Thursday, May 11, 2017

MWANASIASA ANYONYESHA MTOTO BUNGENI...SHUHUDIA HAPA

Seneta wa Australia Larissa Waters amekuwa mwanasiasa wa kwanza kunyonyesha katika bunge la taifa hilo.
Share:

ASKOFU GWAJIMA AKUTANA NA MAALIM SEIF WA CUF KUJUA JINSI LIPUMBA ANAVYOHARIBU CHAMA

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amefunguka na kusema Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ni rafiki yake hivyo alitaka kuonana naye ili aweze kujua Professa Ibrahim Lipumba anaharibu vipi chama
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Manju Matemba - Beni

Manju Polosho Myogela

Habari Kuu

TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO

Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za ...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde