Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Showing posts with label mapenzi. Show all posts

Sunday, January 15, 2017

DAKTARI BINGWA : UGUMBA UNAWATESA WANAUME WENGI ZAIDI KULIKO WANAWAKE

IMEELEZWA kuwa matatizo ya uzazi yapo zaidi kwa wanaume kuliko kwa wanawake tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi.
Share:

TAARIFA YA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI KUHUSU MHADHIRI WAKE ALIYENASWA KWA RUSHWA YA NGONO YA MWANAFUNZI

Share:

Friday, January 13, 2017

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU HARUSI ZA KIFAHARI ILI VIJANA WENGI WAOE


Mji mmoja nchini Somalia umepiga marufuku harusi za gharama ya juu ili kuwashinikiza vijana zaidi kuoa.
Share:

MHADHIRI WA CHUO AKAMATWA NA TAKUKURU KWA RUSHWA YA NGONO YA MWANAFUNZI WAKE

Leo Ijumaa Januari 13, 2017 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kipolisi Kinondoni imetoa taarifa ya kumkamata Samson Mahimbo mkazi wa Makongo Juu Dar es salaam ambaye ni Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kwa tuhuma za rushwa ya ngono dhidi ya mwanafunzi wa chuo hicho.
Share:

Tuesday, January 10, 2017

BABA AMVIZIA NA KUMUUA KIJANA ALIYEKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA BINTI YAKE

Katika kile kinachoweza kuelezwa kuwa ni ubaya wa mapenzi, kijana mmoja mkazi wa Mbalizi Mbeya amefariki dunia kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi baada ya baba wa mpenzi wake kumvamia kijana huyo na kumshambulia.
Share:

Monday, January 9, 2017

HIZI HAPA TABIA 10 ZA WANAWAKE AMBAZO NI KERO KWA WANAUME WENGI NDANI YA NYUMBA

Katika kuangalia tabia za wanawake, kuna hii orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wako ama sahizi uko mbioni unatafuta, kuwa macho na aina hii ya wanawake ambao wanaweza kukuharibia ama kukuletea shida katika mahusiano yako nao mbeleni.
Share:

MKE ANYWA MAJI YA BETRI AKIMTUHUMU MMEWE KUCHEPUKA NA WANAWAKE WENGINE


MKAZI wa Kijiji cha Kimelembe wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Maria Kayombo (31) amenusurika kifo baada ya kunywa maji ya betri kutokana na wivu wa kimapenzi.
Share:

MCHEKESHAJI MAARUFU MASELE CHAPOMBE AFUNGA NDOA..TAZAMA PICHA HAPA

Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa mtindo wake wa uchekeshaji akiigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello, maarufu kama Masele au Chapombe.
Share:

Friday, January 6, 2017

MUME AJIUA BAADA YA MKE WAKE KUMNYIMA SAMAKI MBICHIMKAZI mmoja wa kijiji cha Kalundi kilichopo kata ya Kipande wilayani Nkasi, Vedast Kazumba (51) amejiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa alighadhabika, baada ya mkewe kumnyima kitoweo cha samaki mbichi.
Share:

MUME AMUUA MKE WAKE KWA KUMPIGA NYUNDO KICHWANI AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA MWANAMME MWINGINE

Mwanamke mmoja mkazi wa Mikumi wilayani Keya, Mbeya aliyefahamika kwa jina la HILDA SIGARA  amefariki dunia akiwa anapelekwa Hospitali kwa matibabu baada ya kupigwa nyundo kichwani na mume wake aitwaye REBSON TWEVE umri kati ya miaka 30 – 35.
Share:

Thursday, January 5, 2017

MUME AUA MKE NA MTOTO,AJARIBU KUJIKATA SEHEMU ZAKE ZA SIRI BAADA YA KUAMBIWA ANA MCHEPUKO

Mkazi wa Bukene wilayani Nzega mkoani Tabora, amemuua mkewe pamoja na mtoto wake.
Share:

Friday, December 30, 2016

BABA ADAIWA KUMLAWITI MWANAE WA KIUME

Mwanamume mwenye miaka 45 Yohana Omari anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16, kwa zaidi ya miaka miwili. 
Share:

Saturday, December 24, 2016

KIJANA AMUUA KIJANA MWENZIE KWA WIVU WA PENZI LA BIBI WA MIAKA 60

KIJANA mwenye umri wa 23 na mpenzi wake, bibi mwenye umri wa miaka 60 , wakazi wa kijiji cha Tentula, Kata ya Ikozi wilayani Sumbawanga, wanashikiliwa na polisi wakihutumiwa kumshambulia na kumuua kikatili jirani yao aitwae Desder Justino (23) kwa kile kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Share:

Friday, December 23, 2016

MWENDESHA BODABODA AKATWA SIKIO KWA KISU BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA DEREVA TEKSI

Dereva bodaboda wa Mji Mdogo wa Qatesh wilayani Hanang’ Mkoa wa Manyara, amekatwa sikio kwa kisu kwa tuhuma za kufumaniwa akiwa na mke wa dereva wa teksi.
Share:

ROBOTI WANAOWEZA KUSHIRIKI NGONO KAMA BINADAMU


Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo?
Share:

Wednesday, December 21, 2016

ULIIPATA HABARI YA BWANA HARUSI KUMKIMBIA BI HARUSI KANISANI KABLA YA KUFUNGA NDOA?? MAPYA YAMEIBUKA

Mapya  yameibuka sakata la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Samwel Mwakalobo na Ginen Mgaya, baada ya kubainika kuwa moja ya sababu ni Bibi harusi mtarajiwa kuendeleza uhusiano na mzazi mwenzake.
Share:

Tuesday, December 20, 2016

Utafiti : MIMBA HUBADILISHA UBONGO WA MWANAMKE


Watafiti wanasema mwanamke anapokuwa na mimba, kiwango cha homoni ya oestrogen huongezeka sana na pia mwili wake kubadilika hata hivyo, si wataalamu wengi walikuwa wamechunguza mabadiliko kwenye ubongo.
Share:

Thursday, December 8, 2016

YULE MZEE MWENYE TANGAZO LA KUTAFUTA MKE TAYARI AMEPOKEA MAOMBI YA NDOA 30...WANAWAKE WAZIDI KUMIMINIKA

MZEE Athuman Mchambua (76), ambaye ameweka tangazo nyumbani kwake la kutafuta mke, ameongeza sharti jipya kwa mke anayemuhitaji.
Share:

Friday, December 2, 2016

WANAWAKE WAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VVU TANZANIA

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Utafiti wa Viashiria vya Virusi vya UKIMWI (VVU) na Maralia (THMIS) wa mwaka 2011/2012 kwa upande wa Tanzania Bara vinaonyesha kuwa idadi kubwa ya wanawake wameambukizwa ugonjwa huo kuliko wanaume.
Share:

Tuesday, November 22, 2016

FISI MWENYE HIV ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAWAKE 104 KUWAONDOLEA MIKOSI AFUNGWA JELA MIAKA MIWILI


Mahakama moja nchini Malawi imempatia hukumu ya miaka miwili jela mtu mwenye virusi vya HIV, Eric Aniva maarufu 'Fisi' ambaye alikiri kufanya tendo la ngono na zaidi ya wanawake 100 na wasichana bila kutangaza hali yake.
Share:

TAFUTA HABARI HAPA

HABARI KUU WIKI HII

Picha 45 : RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA KIWANDA CHA VINYWAJI BARIDI JAMBO FOOD PRODUCTS NA FRESHO INVESTMENT CO. LTD CHA MIFUKO SHINYANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Januari 13,2017 amefungua rasmi viwanda viwili mkoani Shinyan...

Msanii Meza- Walwa (Ngoma ya Walevi)

Ngoma : Ng'wana Ishudu - Harusi

Bofya Hapa Chini Kuona Video

 Bofya Hapa

HABARI ZILIZOSOMWA SANA 2016

UNGANA NASI HAPA

MAKTABA YETU

Download Malunde1 blog kwenye simu yako..Bofya Hapa

 Bofya Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde