Showing posts with label matukio. Show all posts
Showing posts with label matukio. Show all posts

Thursday, May 25, 2017

NJIWA ALIYETUMWA KUBEBA DAWA ZA KULEVYA AKAMATWA BAADA YA KUSHINDWA KURUKA


Polisi wa Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba dawa za kulevya aina ya Ketamine ambaye alikuwa amenasa kwenye bati la jengo la forodha katika Bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na Iraq.
Share:

Thursday, May 18, 2017

KAULI YA MWENYEKITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA BAADA YA WAANDISHI KUKAMATWA KISHA KUACHIWA WAKIAMBIWA WALIPEWA 'LIFT' TU


Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha,Claud Gwandu

Leo Arusha kumetokea tukio la Polisi kuvamia mkusanyiko wa watu walioongozwa na Meya wa Arusha kwenda kutoa rambirambi kwa familia zilizopata msiba kwenye ajali ya Wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent.
Share:

Friday, May 12, 2017

ASKARI POLISI AFARIKI KWA KUSOMBWA NA MAJI UNGUJA ZANZIBAR


UNGUJA: Polisi mmoja kwa jina Abbasi Anali amefariki dunia kutokana na kusombwa na maji huko Unguja, Zanzibar.
Share:

Tuesday, May 9, 2017

Ajali Tena!! MABASI YA ALLY'S STAR NA ISANZU YAGONGANA USO KWA USO SAMUYE SHINYANGA,ANGALIA PICHA HAPA


Wimbi la ajali limezidi kujitokeza nchini Tanzania ambapo leo Jumanne May 9,2017 basi la Ally's Star lenye namba za usajili T402 ATV likisafiri kutoka Mwanza kwenda Kaliua  Tabora limegongana uso kwa uso na basi la Isanzu T797 DDW lililokuwa likitoka Kahama kwenda Mwanza.

Share:

Sunday, May 7, 2017

JINSI MSIBA MZITO WA WANAFUNZI SHULE YA LUCKY VINCENT ULIVYOTOKEA,SIMANZI TAIFA ZIMA..SHULE ILIONGOZA MTIHANI WA TAIFA MWAKA 2016


MASHUHUDA waliofika kwanza kwenye eneo la tukio la ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi walikuta wanafunzi 37 na walimu waliokufa kwenye ajali hiyo wakiwa wamelundikana sehemu ya mbele ya basi hilo lililokuwa limeharibika vibaya.
Share:

Saturday, May 6, 2017

News Alert!! WANAFUNZI 32 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI KARATU


Baadhi ya miili ya wanafunzi waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea muda mfupi huko Karatu

Share:

HOUSE GIRL AJIUA KWA KUJICHOMA KISU DAR

Katika hali isiyo ya kawaida dada wa kazi aliyetambulika kwa jina la Christina Mabuga (37), amekutwa ameuawa ndani ya chumba chake, huko Moshi Baa, Gongo la Mboto, Dar es Salaam kwa kujichoma kisu kifuani.
Share:

Friday, April 28, 2017

MFANYABIASHARA WA KUKU ADAI ALISINGIZWA KESI YA MAUAJI KISA ANA VVU ASIWAAMBUKIZE


MFANYABIASHARA wa kuku, Michael Gadi (52) amedai kuwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ngulu Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro walimsingizia kesi ya mauaji baada ya kushindwa kumfukuza kwa kuhofia atawaambukiza Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Share:

Saturday, April 8, 2017

KUTANA NA MSICHANA HUYU MWENYE TABIA ZA NYANI...ANAISHI MSITUNI KAMA MNYAMA

Polisi kaskazini mwa India wanachambua orodha walizo nazo za watoto waliopotea wakijaribu kumtambua msichana mmoja ambaye anadaiwa amekuwa akiishi na nyani.
Share:

Monday, April 3, 2017

Makubwa Haya! MWANAUME AATAMIA MAYAI YA KUKU ILI APATE VIFARANGA

Abraham Poincheval akiwa anatamia mayai katika makumbusho ya Paris

Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kuatamia mayai ya kuku akiwa na matumaini kwamba mwishowe yataangua vifaranga.
Share:

Wednesday, March 29, 2017

Makubwa Haya!! JAMAA AFUNGWA JELA KWA KUMNG'ATA MBWA WA MPENZI WAKE

Chihuahua, kama huyu aliyepigwa picha Japan, ndiye aliyeshambuliwa na Arroyo
Share:

Monday, March 27, 2017

KATUNI NA VICHEKESHO VIKALI ZAIDI LEO


Katuni na vichekesho leo
Share:

Sunday, March 26, 2017

KATUNI KALI ZA LEO...CHEKA,FURAHI,ONGEZA AKILIKatuni kali za leo
Share:

Saturday, March 25, 2017

KATUNI ZA LEO


Katuni
Share:

Saturday, March 18, 2017

MAKONDA ADAIWA KUVAMIA OFISI ZA CLOUDS NA KUWATISHA SHILAWADU..VIDEO YA GWAJIMA KUZAA NA MAMA,KUMTELEKEZA YAVUJA

Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine anashinda hapo mpaka jioni. Siku ya Alhamis Makonda alifika office za Clouds Cha ajabu siku hiyo alikaa mpaka usiku akawa anamtafuta soudy Brown na Qwisser wa SHILAWADU muda huo walikuwa bado hawajafika kazini basi akawa anazungukazunguka tu ofisi hii anatokea ile kama mfanyakazi wa Clouds.
Share:

News Alert: MKUU WA MKOA ANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA GARI AKIFANYA MAZOEZIWatu wawili wamenusurika kifo baada ya gari dogo aina ya taxi kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akinusurika.
Share:

Thursday, March 16, 2017

CHEKA,FURAHI JIFUNZE KUPITIA KATUNI HIZI


Katuni
Share:

Sunday, March 12, 2017

HII NDIYO MIKOA INAYOONGOZA KWA USHIRIKINA TANZANIA...IMO MBEYA

MKOA wa Mbeya umetajwa kushika nafasi ya tatu kitaifa, kwa kuwa na makosa mengi ya jinai na mengi ya makosa hayo, yakitokana na imani za kishirikina.
Share:

Wednesday, March 8, 2017

KATUNI KALI ZA LEO

Katuni kali za leo
Share:

Saturday, March 4, 2017

MZEE ANUSURIKA KUFA AKIPAMBANA NA FISI ALIYEVAMIA ZIZI LA MBUZI KISHAPU...TAZAMA PICHA HAPAMzee Sylas akionesha mkono uliojeruhiwa na fisi-Picha kwa hisani ya Boniphace Butondo-Kishapu
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Manju Matemba - Beni

DC Shinyanga Josephine Matiro akitema cheche kwa maafisa watendaji

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Habari Kuu

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT 2017,TAREHE YA KURIPOTI KAMBINI

TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde