Showing posts with label video. Show all posts
Showing posts with label video. Show all posts

Wednesday, May 25, 2016

Bunge Latolea Ufafanuzi Madai ya Kitwanga Kujibu Swali Bungeni Huku Akiwa Amelewa


BUNGE limekanusha taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii na watu wanaodaiwa kuwa ni madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.
Share:

Sunday, May 11, 2014

TAZAMA VIDEO MPYA YA AZIZ HUNTER ft STWO BOY-Inaitwa BACHALA

Share:

Friday, May 9, 2014

TAZAMA VIDEO MPYA YA P SQUARE- inaitwa TASTE THE MONEY

P.Square ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao wamekua na bahati kubwa ya baadhi ya nyimbo zao zinapotoka kuhit kwa haraka,Taste the Money audio ilitoka February 11 na kuwa ni mojawapo ya hit iliyoshika kwa haraka,hii hapa video yao icheki imeongozwa na Jude Engees Okoye.
Share:

Thursday, May 8, 2014

JOSE CHAMELEONE AACHIA NGOMA MPYA INAITWA - GIMME GIMME,ITAZAME HAPA


Baada ya miaka mingi kutengeneza video za kawaida tu zilizokuwa zinashindwa kupewa nafasi kwenye vituo vikubwa vya runinga kama Trace TV au MTV Base, staa huyo wa Uganda ameachia video ya wimbo wake ‘Gimme Gimme’ yenye utofauti kidogo.

ITAZAME HAPA

Share:

TAZAMA VIDEO MPYA YA MEEK MIL ft RICK ROSE - Inaitwa Off The Corner

Share:

Tuesday, May 6, 2014

TAZAMA VIDEO YA NYIMBO MPYA YA ADAM MCHOMVU(Baba Jonii)- inaitwa Au Siyo

Share:

Monday, May 5, 2014

TAZAMA HAPA VIDEO MPYA YA TID FEAT JULIO - CHECK ME

Share:

Friday, May 2, 2014

MASKINI MTOTO HUYU,AZAMA KWENYE BWAWA LA MAJI HUKO KAHAMA AKIOGELEA,MWILI WAKE WATAFUTWA SIKU NZIMA BILA MAFANIKIO,TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPA

Mwili wa marehemu Frank ukitolewa ndani ya bwawa hili baada ya kupatikana-Picha na BICON PRODUCTION-KAHAMA
Share:

Thursday, May 1, 2014

TAZAMA VIDEO MPYA YA EGAM DROPPER EXPLICIT-WA SHINYANGA- Inaitwa Poa Poa Tu

Wimbo unaitwa Poa poa tu,kutoka kwa msanii Egam Dropper  Explicit kutoka Shinyanga(Shytown).Hii ni ngoma ya ukweli imefanywa na MiPaNCho Music videos/Softface Production,Director Peter Safari kutoka Shinyanga mjini,C.E O ni wa kampuni ya Egam Dropper.

Tazama video hii hapa chini
Share:

Tuesday, April 29, 2014

Tazama Video_MAMA AKIMSHUSHIA KIPIGO BINTI YAKE BAADA YA KUWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI

fd
Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.

Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12.

Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.

Share:

Sunday, April 27, 2014

Noumaaaa!!! HII NDIYO GARI YA KWANZA YENYE UWEZO WA KUJIOSHA YENYEWE DUNIANI,TAZAMA PICHA NA VIDEO YAKE HAPA


Alhamisi ya wiki hii Kampuni ya magari ya Nissan imezindua gari jipya lenye uwezo wakipekee kabisa wa kujisafisha lenyewe na kuondoa kabisa uchafu wa aina yoyote ile kwenye gari hilo.

Watengenezaji hawa wa magari aina ya Nissan wamefanya majairibio kwenye gari hili kwa kutumia rangi maalum ya magari inayojulikama kwa jina la "Ultra-Ever Dry" ambayo ina ondoa uchafu kwenye gari na kufanya gari kujisafisha lenyewe.

Aina hii ya rangi ni maalum kwa kuzuia maji na mafuta kupenyeza au kuganda juu ya rangi hii.  

Kampuni ya nissan wametoa taarifa rasmi na kusema kuwa .... 

"Kwa kujenga tabaka la kinga ya hewa kati ya rangi na mazingira, kwa ufanisi kabisa inazuia maji na uchafu wa barabara, kuunda na kuacha alama chafu juu ya rangi ya  gari, " Nissan walisema katika taarifa yao

Nissan wamesema kuwa Rangi hii inayo zuia uchafu kwenye gari, kwa hivi sasa imefanyiwa majaribio kwenye gari aina yaNissan Note na imeonyesha mafanikio mazuri kabisa katika mazingira yote ikiwa ni katika sehemu zenye hali ya hewa ya kawaida, sehemu zenye barafu, pamoja na sehemu zenye maji maji. 

Nissan wameendelea kusema kuwa bado mafundi wao wanaendelea kufanya majaribio ya rangi hii kwenye kituo chao cha ufundi huko ulaya.

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA
Share:

Saturday, April 26, 2014

TAZAMA VIDEO YA IYANYA-Away IKO HAPA


inyanyaaaaaaaaaaaaaaaKwa mara ya kwanza alifanya show Tanzania kwenye show ya Fiesta 2013 na pia amefanya collabo na Diamond wakiwa Nigeria.

TAZAMA VIDEO HIYO HAPA CHINI
Share:

Tuesday, April 22, 2014

Friday, April 18, 2014

TAZAMA HAPA VIDEO YA RAIS KIKWETE AKIZUNGUMZIA WATU WANAOWASEMA VIBAYA WAASISI WA TAIFA,ASEMA VITENDO HIVYO NI KUKOSA ADABU TU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongelea wanaowasema vibaya waasisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Abeid Aman Karume na Julius Kambarage Nyerere wakati wa mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 15, 2014.

TAZAMA HAPA CHINI VIDEO RAIS KIKWETE AKIZUNGUMZA

Share:

Sunday, April 13, 2014

TAZAMA VIDEO YA LADY JAY DEE - Nasimama

 
Share:

Wednesday, April 9, 2014

Tuesday, April 8, 2014

TAZAMA HAPA VIDEO MPYA YA BAND YA SKYLIGHT-WIMBO UNAITWA KARIAKOO

Video Mpya:Skylight-KariakooAngalia video mpya kutoka kwa Band inayofahamika kwa jina la Skylight,wimbo unaitwa Kariakoo.
TAZAMA HAPA
 
Share:

TAZAMA VIDEO YA MR FLAVOUR WIMBO UNAITWA "BLACK IS BEAUTIFUL"

flavpr
Mr  Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew.
Hivi sasa ametoa video mpya ya wimbo wake wa Black is Beautiful, kama unapenda kazi zake au unapenda muziki kutoka Nigeria basi hii ni nafasi yako ku-enjoy video hii.
TAZAMA HAPA CHINI
Share:

Saturday, April 5, 2014

MTOTO WA MIAK 8 AKUSANYA MAMIA YA WATU HUKO BRAZIL,ANA UWEZO WA KUKEMEA MAPEPO,TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPABinti
wa miaka nane aitwaye Alani Santos kutoka mji wa San Gonzalo nchini
Brazil ameendelea kukusanya mamia ya watu kutoka sehemu mbalimbali
nchini kwake ambao hufika kanisani anakoabudu ambako baba yake ni
mchungaji ili waombewe na binti huyo anayeaminika kuwa na nguvu za ajabu
za kukemea mapepo na kuponya magonjwa akitumia jina la Yesu.Katika
mji anaotokea binti huyo unaweza kufananisha na Mbeya kwa hapa Tanzania
kutokana na kuwa na utitiri wa makanisa licha ya kwamba nchi hiyo
kwasasa inakabiriwa na tishio la watu kutopenda masuala ya kiimani
kwasasa. Brazil taifa ambalo linasifika kuwa la Kikristo wa kanisa la
Katoliki, limekuwa na vipaji mbalimbali kupitia watoto akiwemo kijana
Jotta A ambaye uwezo wake wa kuimba ni wa ajabu kiasi cha hata
kuwashangaza waimbaji wakubwa maarufu duniani.

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA CHINIhttp://4.bp.blogspot.com/-iHJDqKjN8d8/Uz3wiEXtLWI/AAAAAAAAPjI/GxGErRnUxnc/s3200/alani.jpg
Share:

Saturday, March 15, 2014

TAZAMA VIDEO YA N-BIL-J Wimbo unaitwa -TRAFFIC JAM

Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Manju Matemba - Beni

Manju Polosho Myogela

Habari Kuu

TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO

Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za ...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde