Showing posts with label mastaa. Show all posts
Showing posts with label mastaa. Show all posts

Sunday, October 30, 2016

News Alert!! ANGALIA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2016
Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya msingi Kwema ya mkoani Shinyanga.
Share:

Friday, October 21, 2016

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) KUFUMULIWA...VIJANA 136 KUPEWA AJIRA


WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema atalifumua na kuliunda upya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na kwamba wameshaanza kutafuta vijana 136 watakaoajiriwa katika shirika hilo kwa lengo la kudhibiti bidhaa, zinazoingizwa nchini chini ya viwango.
Share:

Saturday, October 1, 2016

MAGUFULI: “TUNA JESHI IMARA, LINALOHESHIMIKA, SINA MASHAKA, NIKO SALAMA, HAKUNA ANAYEWEZA KUICHEZEA NCHI”


Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akipiga ngoma za bendi ya jeshi ya Mwenge Jazzz wana Paselepa wakati wa kufunga Zoezi la medani katika kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Baatini, Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Septemba 30, 2016
Share:

Monday, June 6, 2016

Hatimaye Mwana FA Ameoa....Sahau Kuhusu Bado Nipo nipo,Tazama Picha

‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi kutokea pia katika bongofleva ambayo ilibebwa na swali kubwa la MwanaFA unaoa lini? sasa jibu lenyewe ndiyo limepatikana jana June 5 2016.
Share:

Thursday, May 5, 2016

Snura Akubali Yaishe!! Awaomba Radhi Watanzania Kwa CHURA Yake,Atua BASATA na Kujisajili


Mwimbaji wa muziki wa Mduara nchini Snura Mushi ameomba radhi kwa umma wa Watanzania kwa kosa la kutengeneza, kuzindua na kuweka mitandaoni video ya udhalilishaji wa mwanamke na isiyozingatia maadili ya Kitanzania ya muziki unaoitwa "Chura".
Share:

Sunday, April 24, 2016

Mwanamuziki Nguli wa Congo Papa Wemba Amefariki Dunia,Hii Hapa Historia YakeNyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia.
Share:

Saturday, April 23, 2016

Siwema wa Nay wa Mitego Ahukumiwa Jela Miaka Miwilik Kwa Kutukana Mtandaoni


Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 imemkumba mwanadada ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa staa wa Bongo fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema anayeishi Mwanza baada ya kuhukumiwa kwenda jela kwa miaka miwili.
Share:

Wednesday, April 13, 2016

Utajiri wa Sh. Bilioni 8 wa Mwanamuziki Diamond Wazua Maswali

Hivi karibuni, Mtandao wa The Net Worth (www.the-net-worth.com) umetangaza utajiri wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (26) ambapo kwa mujibu wa jarida hilo, nyota huyo ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8.75), jambo lililozua maswali yapatayo 6 miongoni mwa Wabongo.
Share:

Sunday, April 10, 2016

Picha 4!! MSANII ROMA MKATOLIKI AFUNGA NDOA KWAO TANGARoma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Share:

Tuesday, March 22, 2016

CHIDI BENZ APELEKWA BAGAMOYO KUSAIDIWA AACHE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYAMeneja wa Diamond, Babutale akishirikiana na Kalapina wamemchukua Chidi Benz na kumpeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidia kuacha matumizi ya madawa ya kulevya. 

Share:

Monday, March 21, 2016

MSANII CHID BENZ ANATIA HURUMA,PICHA ZAKE ZAWA GUMZO MTANDAONI,MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YAKE


 
Hivi ndivyo Chidi Benz anavyoonekana kwa sasa.
Share:

Friday, March 11, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ACHEKELEA TUZO ZA LULU NA RICHIE,ANGALIA PICHA HAPA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefarijaka kwa ushindi wa wasanii wa filamu nchini walioshinda tuzo za filamu Afrika za mwaka 2016(African Magic Viewers Choice Award) ziliyofanyika jijini Lagos nchini Nigeria mwishoni wa wiki iliyopita.
Share:

Sunday, March 6, 2016

MTANZANIA SINGLE MTAMBALIKE " RICHIE RICH" ASHINDA TUZO YA FILAMU BORA YA KISWAHILI AFRIKA


Mtanzania Single Mtambalike, Ashinda Tuzo ya Filamu Bora Ya Kiswahili, Afrika!.

Star wa Bongo Movie wa Kitanzania, Single Mtanzania, Single Mtambalike, "Richie Rich", ameshinda tuzo ya filamu bora ya Kiswahili katika tuzo za filamu za Afrika huko Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Share:

Video Mpya!! MRISHO MPOTO Ft BANANA ZORO- SIZONJEMkali wa nyimbo za asili na mashairi Mrisho Mpoto amechilia Video yake leo March 5 2016 inaitwa ‘Sizonje’ ambayo kamshirikisha Banana Zoro.
Share:

Friday, February 19, 2016

MSANII JONI WOKA AZIKWA KWAO TANGA,ANGALIA PICHA HAPA


Msanii Joni Woka amezikwa kwao Tanga,Hapa kuna picha wakati wa Mazishi
Share:

Wednesday, February 10, 2016

WIMBO MPYA WA NEY WA MITEGO "SHIKA ADABU YAKO" WAZUA BALAA,BASATA WATOA TAMKO,NI ULE WENYE MATUSI


BASATA imetoa kauli hiyo kupitia Katibu mkuu mtendaji wa baraza hilo Godfrey Lebejo, alipokuwa akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba anaamini hata kwenye media wimbo huo hautapigwa.
Share:

Sunday, January 3, 2016

KUNDI LA NAVY KENZO NOMA,LASHIKA NAFASI YA NNE KATIKA VIDEO 50 KALI ZA MTV MWAK 2015,DIAMOND TUPA KULE

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Share:

Saturday, January 2, 2016

DIAMOND NOMA SANA!! KANYAKUA TUZO YA NIGERIA..AMEANZA VIZURI MWAKA 20162016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria.
Share:

Thursday, December 31, 2015

NINAZO HAPA PICHA 10 ZA MASTAA DUNIANI ZILIZOPATA LIKES NYINGI ZAIDI INSTAGRAM MWAKA 2015

 
Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umepata watu wengi sana kwa mwaka 2015, ni mtandao ambao kila mtumiaji anao uhuru wa kupost picha na video fupi za sekunde kumi na tano…. hesabu na mimi TOP 10 ya picha zilizopata likes nyingi mwaka huu wa 2015.

Share:

Monday, December 28, 2015

HII ISHU YA DIAMOND PLATNUMZ KULIA KAMA MTOTO JUKWAANI NAYO GUMZO MTANDAONI..HUU HAPA UNDANI WA HABARI HIYO


Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Manju Matemba - Beni

Manju Polosho Myogela

Habari Kuu

TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO

Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za ...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde