Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Saturday, February 25, 2017

STEVE NYERERE AKIRI KUWA SAUTI INAYOSAMBAA MTANDAONI NI YAKE..AKERWA NA MAMA WEMA SEPETU KUMREKODI

Baada ya sauti zilizosambaa zikimuhusisha Mwigizaji Steve Nyerere na Mama wa mwigizaji Wema Sepetu wakizungumza huku akitaja baadhi ya viongozi mbalimbali aliodili nao kwenye sakata la Wema kushikwa na Polisi, leo Steve Nyerere ameita Waandishi wa habari na kuongea nao.
Share:

STEVE NYERERE AKAMATWA NA POLISI

Utata umeibuka juu ya kukamatwa kwa msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere, mara baada ya kuwepo kwa taarifa hizo ambazo zimetolewa ufafanuzi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro.
Share:

Friday, February 24, 2017

Picha : DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA ASASI ZA KIRAIA MANISPAA YA SHINYANGAIjumaa Februari 24,2017 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imezikutanisha Asasi za Kiraia zilizopo katika manispaa hiyo kwenye semina ya siku moja iliyolenga kuzijengea uwezo ili ziweze kutekeleza vyema shughuli zao katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Share:

UDSM: HATUJADAHILI WANAFUNZI VILAZA,SISI NI WAKALI,TUNAFUKUZA WASIO NA SIFA

Siku moja baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutangaza utata wa udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wadau wakubwa wa elimu, wamejitokeza kupinga hatua hiyo. Wadau hao ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) .
Share:

MZEE WA UPAKO AMUONYA NAY WA MITEGO KUFUNGUA KANISA...ADAI ANAMCHEZEA MUNGU KAMA ANA MAMA AMKANYE


Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu.
Share:

WEMA SEPETU RASMI CHADEMA....ADAI AMEHAMIA KUPIGANIA DEMOKRASIA SIYO KUTAFUTA PESA

Msanii wa filamu nchi Tanzania Wema Sepetu ametangaza rasmi kukihama Chama cha Mapinduzi CCM na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Share:

MKE WA BILIONEA MSUYA AACHIWA HURU SHTAKA LA MAUAJI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imewaachia huru mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Mariam Mrita (41) na mwenzake waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya dada wa bilionea huyo, Anitha, baada ya upande wa mashitaka kushindwa kurekebisha hati ya mashitaka.
Share:

Thursday, February 23, 2017

KATUNI KALI ZA LEOKatuni za leo
Share:

WANAFUNZI 8,430 VYUO VIKUU HAWANA SIFA..TAZAMA MAJINA HAPA

TUME ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), imetangaza zaidi ya majina ya wanafunzi 8,436 kutoka vyuo vya elimu ya juu 52 nchini wasiokuwa na sifa ya kufanya masomo ya ngazi hiyo.
Share:

IRENE UWOYA ANA MPANGO WA KUWA MCHUNGAJI KWENYE KANISA LAKE


Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kuwa ana mpango wa kuwa Mchungaji pamoja na kumiliki kanisa lake yeye mwenyewe siku za usoni na kwamba anamuomba Mungu kila siku aweze kutimiza ndoto hizo.
Share:

TCU: HII HAPA ORODHA YA VYUO NA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMEKOSA SIFA YA KUENDELEA NA MASOMO 2016/2017


 Image result for tcu tz

Tafadhali bonyeza jina la Chuo husika ili uweze kuona Orodha
Share:

MEYA WA DODOMA ALIYEWATIBUA MADIWANI DODOMA AFUNGUKA...HII HAPA KAULI YAKE

Sakata la Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Dodoma Jarary Mwanyemba kutuhumiwa kuhujumu Milioni 30 za mradi wa maji imeendelea kuchukua nafasi ambapo juzi February 21 2017 Kamati ya Madiwani iliazimia kutokuwa na imani na Meya huyo ili aondolewe madarakani.
Share:

Wednesday, February 22, 2017

DC SHINYANGA ATOA MBINU KWA WANAWAKE KUJINASUA NA MFUMO DUME


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ametoa mbinu kwa wanawake kujinasua na mfumo dume kwa kuachana na tabia tegemezi, ambayo husababisha kukithiri kwa manyanyaso kwao kutoka kwa waume zao.
Share:

WEMA SEPETU ATINGA MAHAKAMANI..KESI IMEAHIRISHWA HADI MACHI 15

Mwigizaji Wema Sepetu leo alienda tena Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Share:

POLISI AUA MWENZAKE KWA RISASI KISHA KUJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI


POLISI amemuua mwenzake kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo na yeye amejiua baada kutazama mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kati ya Manchester City na Monaco.
Share:

KATUNI KALI ZA LEOKatuni za leo
Share:

JINSI WAFANYAKAZI 14 WA YUSUPH MANJI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Raia 14 wa India ambao wanafanya kazi Quality Group iliyo chini ya Yusuf Manji leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwemo la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.
Share:

MREMBO MASOGANGE AFIKISHWA MAHAKAMANI SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA

Msanii Agnes Gerald 'Masogange' amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka ya kutumia dawa za kulevya.
Share:

WAANDISHI WA HABARI WAWILI WAKAMATWA NA POLISI KILIMANJARO

 TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania, zinaeleza kwamba waandishi wa Habari wawili wamekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo.

Share:

WAZIRI MKUU AAGIZA MADIWANI WASIMAMIE MAKUSANYO YA FEDHA KWENYE HALMASHAURI ZAO


WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema madiwani wanao wajibu wa kusimamia makusanyo ya fedha kwenye halmashauri zao na ametaka wakuu wa idara wawape taarifa kila inapobidi.
Share:

Tafuta Habari Hapa

Mzee Dispensary- Shinyanga Mjini

Habari kuu

Picha : DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA ASASI ZA KIRAIA MANISPAA YA SHINYANGA

Ijumaa Februari 24,2017 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imezikutanisha Asasi za Kiraia zilizopo katika manispaa hiyo kwenye sem...

Njaa Shinyanga- Wananchi & Mbunge Masele

Video: Mama Ushauri - Barcelona

Bofya Hapa Kutazama Video

 Bofya Hapa

Habari Zilizosomwa sana mwezi huu

Ungana Nasi Hapa

Maktaba Yetu ya Habari

INSTALL Malunde1 blog kwenye simu yako leo..Bofya Hapa

 Bofya Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde