Showing posts with label nyimbo za asili. Show all posts
Showing posts with label nyimbo za asili. Show all posts

Saturday, April 15, 2017

TAZAMA HAPA NGOMA LIVE YA KISUKUMA MAARUFU "BENI" YA MANJU MATEMBA IGOMWASHU (Video)Karibu ndugu msomaji wa Malunde1 blog,Fahari ya Shinyanga hususani wewe mpenzi wa nyimbo za asili ambazo mara nyingi tunakuletea mwisho wa wiki..Leo nimekuletea Ngoma ya Kisukuma maarufu kwa jina la Beni kutoka kwa Manju anayejulikana kwa jina la Matemba Igomwashu.Hii ni ngoma iliyochezwa live kutoka uwanjani.

Hii ngoma imechezwa mwaka 2014 katika kijiji cha Itunduru wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Share:

Video: MANJU INAGA MLYA MBELELE - MWANA MONGO

Ninayo hapa ngoma mpya na kali ya Manju Inaga Mlya Mbelele inaitwa 'Mwana Mongo'.
Tazama ngoma ngoma hii ina funzo kubwa

Share:

Video : BHUDAGALA MWANAMALONJA - KISHIMBE


Kama kawaida ya Malunde1 blog kila weekend kukusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili...Hebu tumia dakika chache kutazama wimbo "Kishimbe" wa msanii maarufu wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya kabila la Kisukuma maarufu sana katika kanda ya Ziwa, Tanzania/Afrika Mashariki Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara.
Tazama Hapa chini...Ni ngoma kali balaa
Share:

Video : MACHUPI - MWAJUMA.....NGOMA KALI YA KISUKUMA,WANENGUAJI HATARII


Ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii "Machupi" inaitwa Mwajuma. Machupi alikuwa mnenguaji wa gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja na sasa amejitegemea na kuanzisha kundi lake kama alivyofanya aliyekuwa mnenguaji wa Bhudagala Kundi wa Ng'wa Moto ambaye naye sasa ana kundi lake amejitegemea.
Share:

BHUDAGALA MWANAMALONJA- BHASOBHI


Nimekusogezea Ngoma ya Msanii mkali wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Bhudagala Mwanalonja kutoka kanda ya ziwa inaitwa "Bhasobhi"...Inapatikana katika album yake ya mwaka 2015...
Share:

Friday, April 14, 2017

TAZAMA VIDEO MPYA YA MANJU ITENDELE MCHENYA - HARUSI YA VERONICA

Ninayo hapa ngoma mpya ya  Manju Itendele Mchenya inaitwa Harusi ya Veronica.Tazama Video hapa chini
Share:

Sunday, April 9, 2017

Ngoma Kali ya Asili : MSANII MWANIDAKO - UKIMWI


Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mwanidako,wimbo unaitwa Ukimwi umetengenezwa katika studio za Bicon za mjini Kahama mkoani Shinyanga.Kuna ujumbe mzito,wanenguaji nao wanakata viuno utafikiri hawana mifupa

Share:

Video Mpya ya Asili !! ELIASI MNYAMWEZI - BHAKIMA NA BHAGOSHA


Kuna hii video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Eliasi Mnyamwezi inaitwa Bhagosha na Bhakima...itazame hapa chini
Share:

Wasukuma Mpoo?!! HII HAPA VIDEO YA ELIAS MNYAMWEZI - HISTORIA....KALI BALAA
Msanii wa Nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Eliasi Mnyamwezi ameachia video yake mpya inaitwa Historia.Ni wimbo mzuri sana hakika utaupenda,ametumia mtindo wa Makhirikhiri wa Botswana
Share:

Saturday, April 1, 2017

Video : TAZAMA HAPA NGOMA LIVE YA MANJU INAGA MLYA MBELELE

Kila weekend Malunde1 blog huwa inakuletea ngoma za asili...Leo tunakukutanisha na gwiji wa nyimbo za asili Manju wa Kisukuma Inaga Mlya Mbelele.Shuhudia hapa akicheza live uwanjani
Share:

Video: MSANII MEZA - WALWA


Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili.Leo ninayo ngoma mpya kali ya asili kutoka kwa msanii wa Nyimbo za asili Meza kutoka Ilola Shinyanga vijijini inaitwa 'Walwa' (pombe).Wimbo huu ni maalumu kwa walevi,umetengenezwa katika studio za Passmedia zilizopo mjini Kahama mkoani Shinyanga.
Share:

Sunday, March 19, 2017

Video Mpya: MAMI SAYE - KANGWI

Msanii wa nyimbo za asili Mami Saye ametukaribisha kutazama video yake mpya inaitwa Kangwi
Share:

Video Mpya ya Asili : MAMI SAYE - NAKACHOLA


Ngoma mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mami Saye inaitwa Nakachola,itazame hapa chini
Share:

TAZAMA VIDEO YA MSANII WA NYIMBO ZA ASILI NYANDA RUNDUMA - NAMGE

Ninayo hapa ngoma mpya na kali ya msanii Nyanda Runduma,itazame hapa chini mtu wangu..
Share:

Ngoma mpya ya Asili :TUGWA - MBHAMBHIYE

Msanii wa nyimbo za asili Tugwa ametualika kutazama video yake mpya inaitwa Mbhambhiye..tazama hapa chini
Share:

Sunday, March 12, 2017

TAZAMA NGOMA MPYA YA MAMA USHAURI - NAMHALA

Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde mkoani Shinyanga inaitwa Namhala.
Share:

Saturday, March 11, 2017

MKUSANYIKO WA NGOMA MPYA 8 ZA ASILI WEEKEND HII..CHAGUA HAPA

Kila weekend Malunde1 blog lazima ikuletee ngoma za asili…Tayari Tunazo ngoma kali 8….zimo tatu za wanawake wa nguvu…Mama Ushauri,Soji na Pilly…..Chagua hapa chini
Share:

Ngoma ya Asili : PILLY NZALIA - NDAGU

Msanii wa nyimbo za asili Pilly Nzalia ametualika kutazama ngoma yake mpya inaitwa 'Ndagu'...
Share:

Ngoma mpya ya Kisukuma!! SOJI - HARUSI YA SHIJA LUBOJA

Ninayo hapa ngoma mpya kabisa ya msanii wa nyimbo za asili 'Soji' inaitwa Harusi ya Shija Luboja...Tazama hapa chini video hii
Share:

Wasukuma Mpoo!! TAZAMA VIDEO YA SHILEMA HODI - SHIKOLO

Ninayo hapa ngoma ya msanii wa nyimbo za asili Shilema Hodi inaitwa 'Shikolo'.
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe YouTube Channel

 Bofya Hapa

Habari Kuu

BINTI ANAYEDAIWA KUFA PAPO HAPO KWA KUGONGWA NA GARI AONEKANA MAKABURINI AKIWA HAI

Kijana dereva wa bodaboda,ambaye pia ni mganga wa jadi, Anuary Abdallah akiwa na binti aliyedaiwa kugongwa na gari kisha kufariki dunia...

Video:Juma Machupi - Mwajuma

Video: Itendele Mchenya - Harusi ya Veronica

Classic Visual Shinyanga

Habari Zilizosomwa Sana Mwezi Huu

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Bhudagala - Bhasobhi

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde