Tanzia : PADRE EMMANUEL MAKOLO WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Ndala katika Jimbo Katoliki Shinyanga Padre Emmanuel Makolo, amefariki dunia.

Padre Makolo amefariki dunia Jana Alhamisi tarehe 25.04.2024 , majira ya saa tatu usiku, katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Jijini Mwanza alikopelekwa kwa matibabu.

Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika.

Mungu ailaze Mahali pema Mbinguni Roho

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post