Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Arusha mkoani Arusha Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
Mjane wa marehemu Bonda Nkinga
Mwakilishi kutoka Wizara ya kilimo
Social Plugin