Picha : YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO JUMATATU MAY 15,2017


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakari jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Kessy katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani wakimskiliza Mbunge wa Makete(CCM) Mhe.Prof Adamson Sigalla kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527