Picha: MBUNGE WA TANGA ASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO KWA NEEMA


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika 
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akiangalia athari za miundombinu ya barabara ya Tanga hadi Pangani katika eneo la Neema ambako alikwenda kuangalia namna ilivyoharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha 
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitazama eneo lilioathirika
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisalimiana na wananchi wa Tangasisi
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akipata maelekezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Bacc Technicla co.Ltd ya Mkoani Dodoma , Husein Bakeme kuhusu namna wanayofanya kuondoa adha hiyo 
Greda likiendelea kufanya kazi ya kurekebisha barabara ya Tanga -Pangani eneo la Neema ambalo lilikuwa halipitiki kutokana na kuharibika vibaya na kusababisha magari kushindwa kupita
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea eneo la Neema 
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Masiwani kushoto wakati walipotembelea eneo la Neema kujionea athari za barabara kutokana na mvua zilizonyesha
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiwa na diwani wa Kata ya Masiwani Said Alei wakati akitembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha mkoani Tanga 
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akisalimiana na wananchi wa Jimbo lake
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akiteta jambo na wapiga kura wake mara baada ya kutembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kwa miundombinu ya barabara kuharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha jijini Tanga 

Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527