
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE) kwa mwaka 2025
BOFYA KUTAZAMA MATOKEO
📢 📚USAJILI WA WANAFUNZI UNAENDELEA SHULE ZA LITTLE TREASURES - 2026
Little Treasures Secondary School inawatangazia wazazi na walezi kuwa uandikishaji unaendelea kwa wanafunzi:
🎓 Wanaohamia Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu
Vilevile, Little Treasures Pre & Primary School inapokea wanafunzi wa:
🧒 Masomo ya Awali (Pre-Primary)
📚 Darasa la Kwanza hadi la Sita
🏫 Tunatoa elimu bora yenye misingi imara ya nidhamu, maadili na ubunifu, kwa maandalizi ya kizazi chenye uwezo wa kuleta mabadiliko chanya duniani.
⏳ Wahi kujiandikisha sasa!
📲 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
0767 211 531
0622 604 433
0745 602 164
0743 932 543
🌍 Little Treasures Schools
Prepare to Change the World

Social Plugin