TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

 

Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga.


Asasi hii  inajishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo Utafiti,Utetezi wa Haki za Binadamu,Kutoa Elimu ya Uraia,kutoa msaada kwa makundi mbalimbali wakiwemo watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu/Hatarishi,Yatima,wajane,Wazee pamoja na Mazingira.

Mkurugenzi wa Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga anatangaza nafasi za Kazi zifuatazo:

1.      Mtaalamu wa kuandika andiko la Mradi (Proposal)
2.      Meneja Mradi,(Project Manager )
3.      Mtaalamu wa  Kompyuta ( Computer IT )

Sifa:
1.      Mwombaji awe ni Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2.      Awe Tayari kujitolea.
3.      Awe na Uzoefu usiopungua miaka mitatu akiwa ameajiriwa na taasisi za Umma/Binafsi.
4.      Awe mwaminifu.

Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:

Antony  Johnson
+255 762 117  117
+255 785 118 118
            antonysollo5@gmail.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527