Utamaduni Lake Zone_MSIKILIZE MZEE SONDA KABESHI AKIELEZEA MAANA YA NENO "WASUKUMA",HISTORIA YA WASUKUMA NA WAMETOKA WAPI
Thursday, September 18, 2014
Katika Utamaduni Lake zone,leo utamsikia mzee Sonda Kabeshi kutoka kata ya Masekelo katika manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga anayepatikana kwa simu namba 0783 495 796 akizungumzia maana ya neno "Msukuma",asili ya Wasukuma,nani alianzisha Neno Wasukuma/Msukuma.
Lakini pia utamsikia akifafanua maana ya maneno "Nduhu Tabhu" (Hakuna shida kwa kila kitu)kwanini Wasukuma wanapenda kutumia neno "Nduhu Tabhu",na kuna siri gani iliyojificha ndani ya maneno hayo.
Mzee Sonda Kabeshi ni mwanahistoria aliyezunguka maeneo mengi ya kanda ya ziwa,amejionea maajabu mengi,mengine hayazungumziki katika jamii,lakini kupitia Malunde1 blog utajifunza na kujua mambo hayo kupitia "UTAMADUNI LAKE ZONE"
SIKILIZA HAPA CHINI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin