Aibu na kali ya CCM!! MWENYEKITI WA CCM AGOMA KUSHIRIKI MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWENYE ENEO LAKE
Thursday, September 18, 2014
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Peter Binyongoli(watatu kulia) anayedaiwa kukacha mbio za mwenge bila ya kutoa taarifa maalu kwa uongozi wa serikali wilaya licha ya kupewa taarifa na uongozi huo.
Hii kali haijawahi kutoakea kwa kada anayetegemewa na chama kukiletea ushindi mwaka 2015 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu,Peter Bunyongoli anadaiwa kugoma kushiriki Mbio za Mwenge wa Uhuru katika wilaya hiyo bila ya kuwepo sababu maalumu.
Mwenyekiti huyo alipewa mwaliko na kujulishwa kuwepo kwa mbio hizo ndani ya wilaya yake, lakini hadi leo unakabidhiwa katika mkoa wa Mwanza kiongozi huyo muhimu ndani ya chama hakuonekana na hakuna aliyekuwa na taarifa za kutokushiriki kwa kiongozi huyo.
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin