
Mchezo wa kirafiki baina ya Stand United ya Shinyanga na Nyegezi Terminal ya Mwanza umemalizika huku Stand utd ikiipiga baso 2 Nyegezi terminal ambayo imeambulia bao 1 .
Mchezo huo umefanyika jioni ya leo katika uwanja wa Mkolani jijini Mwanza
Kamana Salum , ameipatia bao la kwanza Stand utd,la pili limefungwa na Kheri Mohamed huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Nyegezi terminal likifungwa na Yusuph Shabani kwa njia ya penati.
Social Plugin