Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

Tuesday, January 15, 2019

MASHAHIDI 15 KUTOA USHAHIDI KESI YA UCHOCHEZI INAYOMKABILI ZITTO KABWE

MASHAHIDI 15 KUTOA USHAHIDI KESI YA UCHOCHEZI INAYOMKABILI ZITTO KABWE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa mashahidi 15 katika kesi ya uchochezi na kusababis...

Monday, January 14, 2019

MBOWE,MATIKO WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA

MBOWE,MATIKO WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA ZITTO KABWE NA WENZAKE

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA ZITTO KABWE NA WENZAKE

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeifuta kesi iliyofunguliwa na Kiongozi wa ACT Wazalendo na wenzake wa vyama vya upinzani waliyokuw...
VYAMA VYA SIASA VYAALIKWA KUTOA MAONI MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA

VYAMA VYA SIASA VYAALIKWA KUTOA MAONI MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA

Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria inatarajia kukutana na wawakilishi wa vyama vya siasa Januari 19 na 20, 2019 kuwasikiliza na kupokea...

Sunday, January 13, 2019

KILICHOTOKEA BAADA YA FATMA KARUME KUKUTANA NA KIGWANGALLA

KILICHOTOKEA BAADA YA FATMA KARUME KUKUTANA NA KIGWANGALLA

Fatma Karume na Waziri Kigwangalla Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tangany...
WABUNGE WATANO KUTINGA MAHAKAMANI SAKATA LA CAG

WABUNGE WATANO KUTINGA MAHAKAMANI SAKATA LA CAG

Wabunge watano wanatarajia kufungua kesi ya kikatiba kuiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutoa tafsiri ya kisheria juu ya mipaka ya kinga ya...
KIGWANGALLA,FATMA KARUME WATISHANA KWENYE MNUSO

KIGWANGALLA,FATMA KARUME WATISHANA KWENYE MNUSO

Fatma Karume kushoto na Hamis Kigwangalla kulia. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla mchana huu anakutana na R...
KAULI YA JPM  YA 'KUCHINJWA NA KUTUPWA BAHARINI' YAWAIBUA WAPINZANI

KAULI YA JPM YA 'KUCHINJWA NA KUTUPWA BAHARINI' YAWAIBUA WAPINZANI

Wakati Rais John Magufuli akieleza sababu zinazomzuia kukutana na wanasiasa, viongozi wa vyama vya upinzani wamemtaka asiwe na hofu kuk...
SHIBUDA : SHERIA HII INAIDHALILISHA CCM....UNAMUOGOPA NANI?

SHIBUDA : SHERIA HII INAIDHALILISHA CCM....UNAMUOGOPA NANI?

Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya Siasa, John Shibuda. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Maswa kupitia CCM, na Maswa Magharibi, John Shibuda...

Saturday, January 12, 2019

KIKWETE,MAGUFULI WAKWAMA KUFIKA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

KIKWETE,MAGUFULI WAKWAMA KUFIKA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais Mstaafu Kikwetena Rais wa sasa Dkt John Magufuli Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Alli Mohamed Shein ...
RAIS MAGUFULI AUKUBALI MOTO WA KATIBU MKUU WA CCM

RAIS MAGUFULI AUKUBALI MOTO WA KATIBU MKUU WA CCM

Rais John Magufuli ameweka wazi kuwa hotuba za Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally huwa zinamshangaza kwa namna ambavyo anazitoa bila uog...

Friday, January 11, 2019

MAKONDA "MNIOMBEE,NIKIKUA NIWE KAMA RAIS MAGUFULI"

MAKONDA "MNIOMBEE,NIKIKUA NIWE KAMA RAIS MAGUFULI"

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini wamuombee ili atimize ndoto ya kuwa kama Rais wa Jamhuri ya Muun...
ASKOFU KAKOBE : RAIS MAGUFULI MIMI HUWA NI MBISHI

ASKOFU KAKOBE : RAIS MAGUFULI MIMI HUWA NI MBISHI

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF), Zakary Kakobe amemwambia Rais John Magufuli kuwa hata kama atafanya mema ki...
TUNDU LISSU AU ZITTO KABWE LAZIMA ASHINDE URAIS 2020  - ADO

TUNDU LISSU AU ZITTO KABWE LAZIMA ASHINDE URAIS 2020 - ADO

Katibu wa Itikadi na Uenezi ACT Wazalendo, Ado Shaibu ameweka wazi kuwa akipewa nafasi ya kuchagua kati ya Tundu Antiphas Lissu (CHAD...
NDUGAI AAMUA KULA SAHANI MOJA KIMATAIFA NA ZITTO KABWE SAKATA LA CAG

NDUGAI AAMUA KULA SAHANI MOJA KIMATAIFA NA ZITTO KABWE SAKATA LA CAG

Unaweza kusema Spika wa Bunge, Job Ndugai ameamua kula sahani moja kimataifa na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.

Thursday, January 10, 2019

HUYU NDIYE WAZIRI ANAYEJIKOMBA KWA RAIS MAGUFULI 'ASEMA POVU RUKSA'

HUYU NDIYE WAZIRI ANAYEJIKOMBA KWA RAIS MAGUFULI 'ASEMA POVU RUKSA'

Rais Magufuli (kulia) alipokuwa akiipokea ndege ya Airbus A220 - 300 Dodoma. Akiwa tayari ameshatumikia Wizara mbili katika miaka m...
JPM ASOMA SMS ZA WATEULE WAKE " ENDELEENI KUGOMBANA TU...MTAGOMBANIA VIJIJINI SIKU MOJA'

JPM ASOMA SMS ZA WATEULE WAKE " ENDELEENI KUGOMBANA TU...MTAGOMBANIA VIJIJINI SIKU MOJA'

Rais John Magufuli jana alieleza jinsi alivyosoma meseji za watendaji wake serikalini na kubaini baadhi yao wanagombana badala ya kufan...
SAKATA LA KUDHALILISHA BUNGE : NDUGAI  AMPA BARUA YA WITO CAG..MAALIM SEIF NAYE AKOMAA

SAKATA LA KUDHALILISHA BUNGE : NDUGAI AMPA BARUA YA WITO CAG..MAALIM SEIF NAYE AKOMAA

 Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ofisi yake tayari imeshaandika barua ya wito kwenda ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Se...
HUYU NDIYE FELIX TSHISEKEDI MSHINDI WA URAIS CONGO

HUYU NDIYE FELIX TSHISEKEDI MSHINDI WA URAIS CONGO

Felix Tshisekedi akiwa katika mkutano wa kisiasa Aprili 2018 mjini Kinshasa *** Felix Tshisekedi Tshilombo, ni mwanawe mwanzilishi wa...
TUME YA UCHAGUZI YAMTANGAZA TSHISEKEDI KUWA MSHINDI WA URAIS CONGO

TUME YA UCHAGUZI YAMTANGAZA TSHISEKEDI KUWA MSHINDI WA URAIS CONGO

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Congo (Ceni) imetangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo yanayoonesha mgombea wa upinzani Felix Tsh...