Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili katika Kanisa Katoliki la Mwenyeheri Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jijini Dodoma, kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama leo, tarehe 13 Desemba, 2025





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com