
Unatafuta huduma ya uhakika ya kutoka Afrika Kusini kwenda Tanzania? Hatupotezi muda — tunafanya kazi kwa kasi, usalama na bei rafiki.
🚀 Kwa nini utuchague?
✔ Forodha Bila Stress – Tunashughulikia kila karatasi ili mzigo wako upite haraka.
✔ Usafirishaji Mahiri – Anga, baharini au barabarani… tunasafirisha vyote.
✔ Import & Distribution – Tunapokea, kuandaa na kukuletea mzigo popote ulipo.
📦 Afrika Kusini → Dar es salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza na maeneo mengine.
Unatuma mzigo, sisi tunaufikisha bila kuchelewa.
📞 Tupigie:
+27 60 474 9717 | +27 11 392 5650 | +255 746 209 547
🌐 mkombeclearing.com
✉ info@mkombeclearing.com



Social Plugin