
Wazazi na walimu katika wilaya ya Singida walibaki vinywa wazi baada ya matokeo ya mitihani ya kitaifa kutangazwa na jina la mtoto wa shule ya msingi mwenye historia ya kufeli kila mara kuongoza kitaifa.
Hili halikuwa jambo la kawaida, hasa kwa wazazi wenzangu waliomfahamu mwanangu kama mmoja wa wanafunzi waliokuwa hawajishughulishi darasani, mara nyingi akiwa nyuma ya darasa kwa alama.
Social Plugin