
Malunde1 blog leo Oktoba
08,2017 inatimiza umri wa miaka MITANO tangu kuanzishwa kwake tarehe
08.10.2012.
Mwanzilishi: Kadama Malunde
Mmiliki: Kadama Malunde
Jina la blog: Malunde1 blog, Fahari ya Shinyanga
Anuani: malunde.com
Application katika Play store : Malunde
Uanachama: Tanzania Bloggers Network (TBN)
Lengo: Kuchapisha habari za ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.
Mgawanyo wa Machapisho:Habari,Shinyanga,Matukio,Siasa,Matangazo,Mapenzi,Magazeti,Burudani,Michezo Nyimbo za asili
Upekee: Habari za Shinyanga kila siku na Nyimbo za asili kila Weekend
Waendeshaji: Waandishi wa habari
Eneo: Dunia nzima
Mawasiliano: Simu/Whatsapp +255757478553 au 0625918527
ASANTE KWA KUENDELEA KUTUAMINI
KWA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA KWA MUDA MUAFAKA
Social Plugin