VANESSA MDEE KUPANDA JUKWAANI JULAI 22,2017 TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS


Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok
(kushoto) akiwa pamoja na Vanessa Mdee juzi jijini Dar es salaam, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika Julai 22,2017. Kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini,
Isaria Kilewo. 
Vanessa Mdee akizungumza jambo Meneja Msaidizi wa Chapa
ya Bia laini, Isaria Kilewo mapema mwishoni wa wiki iliyopita jijini Dar wa kutangaza kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai 2017. 
Vanesa Mdee akikata keki 
Vanessa Mdee akifurahi jambo wakati wa kutangazwa kuungana na wasanii wengine akiwemo Cassper Nyovest, Diamond na Future katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai,2017. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments